mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Dembele:
umri :20 (1997)
Height :1.78M
Rate:7.5
Nilichokiona mimi binafsi kwa ousmane Dembele
1.skilful (ana hold mipira)
2.position -anacheza vizuri sana no 7 ila anaweza akapiga no 11 (kama Neymar)
3.stamina (physique ) anayo sana nampa 85% tofauti na Neymar alipofika barca (alikua mwepesi sana)
4.Speed na aggressiveness nampa-90% anakimbia sana jamaa na mpira bila kuusahau nyuma
5.PLay making (goal making) nampa-90% hapa ni pamoja na pass accuracy Fifa wamempa 70%.hasa yuko good kwenye long pass
6.shooting and goal scoring nampa ratio ya 2:1 -hii factor inamtofautisha yeye na Mbappe mfaransa mwenzake hata wanapokua wanacheza national team
So nime conclude jamaa ameletwa kama playmaker ambaye ana kasi sana hasa akicheza right flank na awe anapiga pass za mwisho
For me ni replacement nzuri ya Neymar but we still need offensive midfielder Cort is the best
Vilevile Jean M seri atatufaa hasa kwenye hiyo age yake ya 25 kama mid fielder