FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jamaa kazuia goal la Messi kaumia
King leo nataka atoke na hatrick
 
pique kazingua angempa paulinho kocha anachofanya anataka tym iballance kumchezesha Robert na Vidal na leo imecheza vizuri maaana katym kanapaki bas ila anatakiwa ampe muda mwingi paulinho na semedo yuko vizuri
 
Update ya Coutinho:Goal .Com wameshanusa wazee wa nyeti kuna leakage ya info zote ni positive kwa Barcelona vyanzo mbalimbali wame report Liverpool tayari wameshaelewana na Barca kumuuza Coutinho na vyanzo vingine vikiripot hela ambayo anauziwa vina range kuanzia £120-150M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…