Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
Yaani huyu dogo, cjajua labda huko mbele atakuwa powa? Kipindi cha pili ndiyo alionesha kiwango kibovu sana yaani kila akipewa mpira kwa pasi safi tu lakini karibu Mara 5 anapoteza mpira ndani ya muda mfupi hadi Messi akaamua kucheza upande wa kulia. Kipindi cha kwanza nacho cross zote alizopiga zilikuwa mbovu kinyama.del kapiga cross mbovu boy kapiga cross mbovu sana.
I Agree with You (100%)If you wanna get out of Messi's shadow you should change sports not clubs! He is football.
Huwezi toa pongezi tu au hadi uweke visababu visivyokuwa na maana. Watu wengine banaBro nimeona game yako Jana, you scored many goals lakini ile lack of concentration in first 20 minutes Isco could do a lot of demage there alafu ndio mngechanyikiwa.
Hii ni aibu sana
Ndio maana mkawa mnalinganisha yeye na mfalme wa Mpira (Messi10) wa Muda wote?. Eti kisa alicheza vizuri mechi moja tu ya "World Cup Qualification" wiki kazaa zilizopita.Bro nimeona game yako Jana, you scored many goals lakini ile lack of concentration in first 20 minutes Isco could do a lot of demage there alafu ndio mngechanyikiwa.
Uliangaia match ya Barca au ulikua unasinzia?Bro nimeona game yako Jana, you scored many goals lakini ile lack of concentration in first 20 minutes Isco could do a lot of demage there alafu ndio mngechanyikiwa.
Alafu wanatokea wahuni, mazoba wanatuambia eti ronaldo anastaili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 wakati king amekamatia toka msimu uliopita unaanza yaani huu uhuni kwenye soka sijui utaisha lini.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Goals for club in 2017 calendar year:
Messi 44
Cavani 34
Lewandowski 32
Cristiano 29
Aubameyang 28
Harry Kane 28
Unataka mchezaji bora atokane na kombe la mfalme au FA kule uingerezaAlafu wanatokea wahuni, mazoba wanatuambia eti ronaldo anastaili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 wakati king amekamatia toka msimu uliopita unaanza yaani huu uhuni kwenye soka sijui utaisha lini.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]