Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
Daaahhh King ananipa raha sana barca wasithubutu kumuachia kwa jinsi anavyojituma ni shida.Digne bado anazingua, Vidal pia anaweza akachezeshwa kama winga ya kulia. Paulinho amecheza vizuri ila nahisi mfumo wa totenham ulimshinda