Sijui na sisi tutashinda Leo kama baba zetu Galacticos walivyoshinda Jana huko Germany.
Daaah... Ronaldo wao hapendi ujinga kabisa linapokuja suala la UEFA. Majamaa yasipobeba tena ndoo mara ya tatu mfululizo nakula kinyesi changu.
Mbona jamaa amedisa huku kambeba mwanaume mwenzie aseee
Vizuri tu. Bado dk kadhaa tuliamshe Dude. Karibu!!!Wakuu tunaendeleaje na hali.
Angalia utapakatwa!Nyie Sporting CP acheni ukuda Basi.
Kwanini mnaruhusu kushikwa sharubu mbele ya mademu zenu...
Hebu sawazisheni fasts hilo goli.
Muongeze na la pili mchezo uishe
Jipe moyoNyie Sporting CP acheni ukuda Basi.
Kwanini mnaruhusu kushikwa sharubu mbele ya mademu zenu...
Hebu sawazisheni fasta hilo goli.
Muongeze na la pili mchezo uishe