Rakitic ana siku na siku. kuna siku anaweza upiga hadi ukasema hakuda MD kama yeye. ni kama mtu mwenye Bipolar hivi.Kwa midfield hii ya Barca ya Rakitic nina mashaka ,robo unaweza kuwa mwisho wao
Ilikua ngumu kwa sababu midfield haziku press high halafu kwa mara ya kwanza na judge something is wrong with the best Suarez hafanyi attemp nyingi na hua anapoteza sana passes (accuracy is low)Hii mechi imekuwa ngumu sana.
Huyu Suarez nilisema hapa tangu tunacheza preseason games, kiwango kimeshuka sana!Ilikua ngumu kwa sababu midfield haziku press high halafu kwa mara ya kwanza na judge something is wrong with the best Suarez hafanyi attemp nyingi na hua anapoteza sana passes (accuracy is low)
defense yetu imejaa wanyama mwitu watupu. stergen amekuwa hybrid ya GK na CB. timu zitapata shida sana kutufunga msimu huu.
Mdogo mdogo tutachikua ndoo maana msimu uliopita tulianza kwa vishindo ila tukamuachia madrid alienza kwa kusuasua akachukua sasa na sisi hii zamu yetu.Naombea sana Madrid awekeze more effort kwenye UEFA abebe ndoo mara ya Tatu mfululizo ili atuachie nafasi nzuri sisi Barca kuchukua tena La Liga..
Maana UEFA duuuu, wababe ni wengi sana..
Makina Madrid, Atletico, Chelsea, PSG, Man U kubabake hatuchomoki...
Misimu 7 mfululizo madrid kila msimu wa la liga ame fungwa goli nying kuliko barca...kaangalie misimamo ya lig tang 2010Pumbavu....
Tuache ujinga... Inajulikana kabisa kuwa Barca ndio timu inayoongoza kwa kuwa na Weakest Defense line...
Tukiendelea kushinda hadi January. Hata Uefa twaweza chukuwa Mkuu. Ngoja tuone.Naombea sana Madrid awekeze more effort kwenye UEFA abebe ndoo mara ya Tatu mfululizo ili atuachie nafasi nzuri sisi Barca kuchukua tena La Liga..
Maana UEFA duuuu, wababe ni wengi sana..
Makina Madrid, Atletico, Chelsea, PSG, Man U kubabake hatuchomoki...
Knowledge yako ya soccer it seems ni tatizo-Defence sasa hivi ndio inayobeba timu-kwa hivyo Stergen,Semedo,Pique,Umtiti nani unaona weak linkPumbavu....
Tuache ujinga... Inajulikana kabisa kuwa Barca ndio timu inayoongoza kwa kuwa na Weakest Defense line...
Pumbavu....
Tuache ujinga... Inajulikana kabisa kuwa Barca ndio timu inayoongoza kwa kuwa na Weakest Defense line...
Nenda ukasome tena taarifa vizuri na kwa utivu usiishie kusoma heading tu.Barca nasikia mnampango wa kuhamia EPL?
Waganga mmekua wengi sana siku hizi. Anyway, usiache kutuangalia tukichukua point zetu tatu muda ukifika!BARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI
Hiyo kitu unayovuta sio nzuri kwa afya yako ya ubongoBARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI
Barca gani inacheza leo?BARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI
miongoni mwa mashabiki wa madridogs mabashite wewe ni mmoja wao. Barcelona ya wapi inayocheza leo????BARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI
Huyu na padri mcharo. Nafikiri ni mfano bora wa jinsi mashabiki wa madrid walivyo.miongoni mwa mashabiki wa madridogs mabashite wewe ni mmoja wao. Barcelona ya wapi inayocheza leo????
"It's very important to win going into the international break. We'll try to go into it with a full house of wins, which would be a great end to this first stage": Ernesto Valverde's pre-Palmas Presser.BARCA WANAANZA KUFUNGWA RASM LEO....WALITANGULIA NA BASKELI YA MITI