Mechi hii inaonekana ikaishia kupigiana penalti kwani tactically AC Milan leo wameshindwa ku-employ tactic ya kuwabana wachezaji wa pembeni wa Barca na Barca wameweza kucheza kwa kasi na kuwazidi nguvu AC Milan.
Kama Barcelona hawatafnga goli la pili basi AC Milan wanaweza kurudisha goli na kufanya mchezo uwe wa kukisia nani atafunga goli la ushindi.