Valverde ni tatizo
Barca ina creative players 2 tu messi na iniesta .
Suarez ni mzigo kuanzia kumiliki mpira na utoaji wa pass ,Suarez ni wa kumuacha ndani ya penalt box tu
Paulinho ndio hahusiki kabisa simuhesabi kama ni kiungo anahusika kwenye mchezo mara chache mno
Raki ni mtu wa pasi pasi tena mpaka pawe na gap
Sasa unamtoa nje iniesta ambaye licha ya uzee wake lkn footwork yake ni bora kuliko paulinho na raki ,ana dribble
Yaani messi ndio aamua mchezo pekee yake
Nilitegemea haya mtindo wa valverde kupenda kumtoa iniesta utam cost sana iniesta ,busi ,Denis kwa pamoja na may be raki awepo magoli yangepatikana zaidi ,
Paulinho na raki , Suarez ubunifu hawana ,messi pekee ndiye anaweza kudribble na kutoka wapinzani wengine ni iniesta na Denis
Sasa uwanjani una creative player mmoja halafu utegemee ushindi ?
Vv ajitizame timu haina winga Sasa ukimtoa iniesta ubunifu katikati 0