Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuwa offside wala nini, ujinga tu kama wa refarii wa mchezo uliopita...Suarez offside again
Kudadeki zako subir kisago leoBahati yenu kunguni nyie.
Draw ya ngapi hiyo mnahesabu???
Kubabake Curve ishaanza kushuka.
Nasikia out wiki nane.Any news zitakazohusu Injury ya Umtiti lazima ziwe bad tu lets hope asikae nje week nyingi itakua balaa the best central defender laliga
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hii habari kuna sehemu niliiona ikanilazimu nijifanye sijaisoma maana ni mbaya sana sijui kama Vermalen ataweza shughuli ya pale nyuma lets hope Macherano apone na apewe greenlight mapemaNasikia out wiki nane.
Iniesta alipata majeraha valverde kaliongelea hiloValverde ni tatizo
Barca ina creative players 2 tu messi na iniesta .
Suarez ni mzigo kuanzia kumiliki mpira na utoaji wa pass ,Suarez ni wa kumuacha ndani ya penalt box tu
Paulinho ndio hahusiki kabisa simuhesabi kama ni kiungo anahusika kwenye mchezo mara chache mno
Raki ni mtu wa pasi pasi tena mpaka pawe na gap
Sasa unamtoa nje iniesta ambaye licha ya uzee wake lkn footwork yake ni bora kuliko paulinho na raki ,ana dribble
Yaani messi ndio aamua mchezo pekee yake
Nilitegemea haya mtindo wa valverde kupenda kumtoa iniesta utam cost sana iniesta ,busi ,Denis kwa pamoja na may be raki awepo magoli yangepatikana zaidi ,
Paulinho na raki , Suarez ubunifu hawana ,messi pekee ndiye anaweza kudribble na kutoka wapinzani wengine ni iniesta na Denis
Sasa uwanjani una creative player mmoja halafu utegemee ushindi ?
Vv ajitizame timu haina winga Sasa ukimtoa iniesta ubunifu katikati 0