FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Free flow game with passes after passes kwa Barça inapotea siku hizi
 
Suarez offside again
Haikuwa offside wala nini, ujinga tu kama wa refarii wa mchezo uliopita...
d973bd85ccfc730ce50da61ad48c9aa1.jpg
 
Ahsanteni Celta Vigo, ongezeni la tatu mfunge na duka kabisa.
Msisahau kuchuma madole mbwa hawa.
 
Bahati yenu kunguni nyie.
Draw ya ngapi hiyo mnahesabu???
Kubabake Curve ishaanza kushuka.
 
Valverde ni tatizo

Barca ina creative players 2 tu messi na iniesta .

Suarez ni mzigo kuanzia kumiliki mpira na utoaji wa pass ,Suarez ni wa kumuacha ndani ya penalt box tu

Paulinho ndio hahusiki kabisa simuhesabi kama ni kiungo anahusika kwenye mchezo mara chache mno

Raki ni mtu wa pasi pasi tena mpaka pawe na gap

Sasa unamtoa nje iniesta ambaye licha ya uzee wake lkn footwork yake ni bora kuliko paulinho na raki ,ana dribble

Yaani messi ndio aamua mchezo pekee yake

Nilitegemea haya mtindo wa valverde kupenda kumtoa iniesta utam cost sana iniesta ,busi ,Denis kwa pamoja na may be raki awepo magoli yangepatikana zaidi ,

Paulinho na raki , Suarez ubunifu hawana ,messi pekee ndiye anaweza kudribble na kutoka wapinzani wengine ni iniesta na Denis

Sasa uwanjani una creative player mmoja halafu utegemee ushindi ?

Vv ajitizame timu haina winga Sasa ukimtoa iniesta ubunifu katikati 0
 
Bahati yenu kunguni nyie.
Draw ya ngapi hiyo mnahesabu???
Kubabake Curve ishaanza kushuka.
Kudadeki zako subir kisago leo
Bilbao yafinyangeni haya mafala leo
Aduriz,Garcia pigeni hilo lipazia golini machupi na matobo
Yanyoosheni kbs kama yalivyonyooshwa na kitimu cha mwisho Malaga
Yabakeni ka yalivyobakwa na spurs
Yapigeni kbs
 
Valverde ni tatizo

Barca ina creative players 2 tu messi na iniesta .

Suarez ni mzigo kuanzia kumiliki mpira na utoaji wa pass ,Suarez ni wa kumuacha ndani ya penalt box tu

Paulinho ndio hahusiki kabisa simuhesabi kama ni kiungo anahusika kwenye mchezo mara chache mno

Raki ni mtu wa pasi pasi tena mpaka pawe na gap

Sasa unamtoa nje iniesta ambaye licha ya uzee wake lkn footwork yake ni bora kuliko paulinho na raki ,ana dribble

Yaani messi ndio aamua mchezo pekee yake

Nilitegemea haya mtindo wa valverde kupenda kumtoa iniesta utam cost sana iniesta ,busi ,Denis kwa pamoja na may be raki awepo magoli yangepatikana zaidi ,

Paulinho na raki , Suarez ubunifu hawana ,messi pekee ndiye anaweza kudribble na kutoka wapinzani wengine ni iniesta na Denis

Sasa uwanjani una creative player mmoja halafu utegemee ushindi ?

Vv ajitizame timu haina winga Sasa ukimtoa iniesta ubunifu katikati 0
Iniesta alipata majeraha valverde kaliongelea hilo
 
Barcelona tuna mapungufu mengi sana naomba sana tusikutane na timu nzuri kama PSG, labda Dembele apone ila vinginevyo mh. Sipati picha akiumia Messi tutaficha wapi sura zetu.
 
Back
Top Bottom