FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca-Chelsea then Bayern-R Madrid Mbona kutapendeza then zikutane Barca na Real Madrid Piga uwa safarihii Barca anaumia.

Mkuu,

Benfica bado ni timu ya kuogopewa kwahio si ya kuidharau.
 
inategemea na Gaitan na Cardoza namna watavyocheza ila siwaoni kushinda Bridge, Chelsea wana Big Ego ya masifa.
 
AC Milan inabidi wamtoe Clarence Seedorf na wamuingize kati ya Emanuelson au Alexander Pato, huenda wakaambulia chochote.

Mimi na-hold responsible Seedorf kwa uzembe wa kushindwa ku-master midfield ukizingatia umahili na uzoefu wake kwenye mechi kama hizi.
 
Penalty ya kwanza naona kama ilikuwa soft japokuwa experienced defender kama Nesta should have done that.
 
Freekick Xabiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ooooooooooooooooooooooooooooghfffffffffffffffffffffffff
 
Penalty ya kwanza naona kama ilikuwa soft japokuwa experienced defender kama Nesta should have done that.

Mie naona kama penati ya pili ndio ilikua soft, ya kwanza jamaa kacheza rafu kutoka kwa nyuma hile refa akuachii wala kwa dawa na kulikua na contact ya kutosha tu.
 
Kushnehiiiiiiiiiiiiiiiiiii Eniestaaaaaaaaaaaa
 
Kilicho Baki kwa Ac Milan ni Ushindi wa Kupiga Buti tu Fyeka Fyeka Kata Kinda basi. Messi atakuja Speed wakimtizama tu kama onyesho.
 
Barca wanamfanya Ibrahimovich aonekane kama Andy Carroll Dah.
 
sasa hivi ni damage limitation tu...ila ingekuwa vyema kama ac milan wangewakanyagakanyaga key players wa barca akiwamo messi ili angalau wakikutana na sisi wazee wa msondo tusichezee kichapo cha aibu...!
 
Barca wanamfanya Ibrahimovich aonekane kama Andy Carroll Dah.

Andy Carrol hajawahi kuanza mechi nyingi sana, na nafikiri alikuwa "overated".

Kenny Dalglish ameambiwa na owners atoe maelezo kwa maandishi ni kwanini timu hiyo hadi sasa imesimama kwenye nafasi ya nane.
 
Wanamuulizia nini wafukuze tu kama Mwizi walete Deshamps alete Adabu kwenye timu< Andy Caroll anajizalilisha tu uwanjani uchezaji wake hata Mbunge Kitambi bongo ataonekana Ronaldinho. Andy Caroll akajaribu Hollywood Movie Avatar 2 nasikia inataka kutoka atafaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…