Roberto Aquilani hana ubavu sana wa kucheza kwenye midfield na ndio maana hakucheza sana pale Liverpool.
Sijui ni kwanini hakumwingiza Emanuelson au Pato ambayo ni attacking minded.
Ibrahimovic nae alitakiwa aanze kkwa kukaa bech na Pato angeanza.
Hii game ni ngumu kwa AC Milan. watafukuza sana upepo.
Anyway 15 minutes to go.
mimi binafsi barcelona na manu....siyapendi haya matimu mawili ...!
barca mtabebwa mpaka lini.
Wamebembwa leo hawa mwaka huu hawachukui kombe
Mie naona kama penati ya pili ndio ilikua soft, ya kwanza jamaa kacheza rafu kutoka kwa nyuma hile refa akuachii wala kwa dawa na kulikua na contact ya kutosha tu.
Mkuu Ox ya kwanza Nesta alislide lakini Messi akaukanyaga mguu wa Nesta hivyo haikuwa Pen ya halali ila UEFAlona ilikuwa inafanya kazi pale. Pen ya pili ilikuwa ya kibwege zaidi kusukumana ipo hasa kwenye kusubiria kona, au kila mechi kungekuwa na Pens kumi kumi. Goli la tatu Pique alimshika Ibra refa akapotezea(alipaswa atoe pen kama alivyowapa barca kabla) Valdes akaanzisha mbele haraka haraka.Mie naona kama penati ya pili ndio ilikua soft, ya kwanza jamaa kacheza rafu kutoka kwa nyuma hile refa akuachii wala kwa dawa na kulikua na contact ya kutosha tu.
Wanabebwa sana na UefaHivi kwa nini Man U hamuipendi Barca.
One back Necorino gooooooooooalllll!!!!!