Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,835
- 4,464
Barca vs Rayo, head to head statistics. Katika michezo 21 waliyokutana, Barca kashinda mara 14, kafungwa mara 3 na suluhu mara 4. Jumla ya mabao yakiwa 60 kwa Barca na 15 kwa Rayo. Barca ana wining streak ya michezo 8 iliyopita huku mara ya mwisho kufungwa ikiwa ni msimu wa 2002/03. Anyway nothing for granted coz hata Malaga walitushangaza. All the best Barca

