FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ronaldo+bale+benzema+James= KING LEO MESSI

MWENYE NACHO CHA KUONGEZA KUHUSU MESSI NAMKARIBISHA
 
22387_1582626115358639_5454969967522068708_n.jpg

11163243_1582626215358629_3250213380112869878_n.jpg
 
asanteee mkuu.. kwa kuongezea timu nzima ilikua inacheza kama watoto.. hawana malengo wala nini sema ndo vile tu ALONSO kawabeba sana.

kwangu kukupiga risasi sio shida.. na leo nilikua napita na Pep ama Boateng (unacheza kama shoga bhana!?).. nampa ya kichwa akalale pema, anatuletea za kuleta hapa shenzi kabisa.

hongereni Barca.

baki nayo hiyo hongera maana ni ya kinafki.
 
baki nayo hiyo hongera maana ni ya kinafki.

Teh Teh Teh.. ni fair play mkuu, sema sijafurahi kwani askari wangu wa kijerumani wamefanywa vibaya kisa watu wasio na roho za kijerumani.

Lazima nikupongeze Sir
 
ukimuangalia messi leo, utabaki unajiuliza mashabiki wa ronaldo huwa wanampendea nini.

messi izi Anaza levoo.
 
Ronaldo+bale+benzema+James= KING LEO MESSI

MWENYE NACHO CHA KUONGEZA KUHUSU MESSI NAMKARIBISHA
MO11Hivi bei ya MESSI imegusa ngapi jana? Ili niangalie uwezekano wa kuwapiga tafu Man Utd kumsajili, make wao wanazurura tu!

Naona Champion League wao watakuwa wanaishia kuiangailia tu Supersport kama Simba!
 
Last edited by a moderator:

Priceless
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom