kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Penadlo angefunga tusingelala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penadlo angefunga tusingelala
Huyu Messiah bado umri unamruhusu tofauti na huyo babu penado,bado ataendelea kuvunja record hadi ataanza kuvunja record zake....
Dunia inalalamika Neymar kawanyima uhondo wa grand finale mechi ya marudiano,game ingeisha 2-0 angalau Bayern wangekuwa na a whisker of hope. Guadiola anaingia kwenye vitabu vya record kwa kuweza kumzidi Barca possession 54% Bayern-crisis meeting inaendelea Barcelona eti afadhali kufungwa kuliko kuzidiwa possession. goal la pili la messi kuingizwa katika hall of fame hili vizazi vijavyo wajue kwamba kuliwahi tokeo maajabu zama za kale- kutoka jikoni ni mimi reporter jacklineMbona kila mtu anamtaja Messi, Messi kafanya nini jamani?
@6Jackline1 kuna watu tunabishana kati ya trinity hizi mbili ipi ni bora,ya kwanza ni ile ya Mesiah,gaucho na Etoo nyingine ni Neymar,Suarez na Mess....mie nasema ya kina gaucho ilikuwa ni ya viwango na speed,yani mpira ukienda ujue kuna goli,hii Neymar bado anatabia za kipanado so compatibility inakosekana....
@6Jackline1 kuna watu tunabishana kati ya trinity hizi mbili ipi ni bora,ya kwanza ni ile ya Mesiah,gaucho na Etoo nyingine ni Neymar,Suarez na Mess....mie nasema ya kina gaucho ilikuwa ni ya viwango na speed,yani mpira ukienda ujue kuna goli,hii Neymar bado anatabia za kipanado so compatibility inakosekana....
Kali ni ya sasa sababu kama sikosei ile trio ya kina gaucho ilikuwa na goli 102 ila hii MSN mpaka sasa ni 109 kama sikosei hvyo bora ni hii . NAWASILISHA
Dunia inalalamika Neymar kawanyima uhondo wa grand finale mechi ya marudiano,game ingeisha 2-0 angalau Bayern wangekuwa na a whisker of hope. Guadiola anaingia kwenye vitabu vya record kwa kuweza kumzidi Barca possession 54% Bayern-crisis meeting inaendelea Barcelona eti afadhali kufungwa kuliko kuzidiwa possession. goal la pili la messi kuingizwa katika hall of fame hili vizazi vijavyo wajue kwamba kuliwahi tokeo maajabu zama za kale- kutoka jikoni ni mimi reporter jackline
umesahau kwamba Suarez alikaa miezi 2-3 kwahiyo alikosa Game nyingi tuu, pata picha na yeye angeanza tangu mwanzo.