PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Cesc ndo alikuwa na mkosi, alikuja na gundu lake la Arsenal Camp Nou!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cesc ndo alikuwa na mkosi, alikuja na gundu lake la Arsenal Camp Nou!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ningefurahi sana kumuona Paul Pogba Barcelona pamoja na Thiago Alcantara.
yaani kati ya yote hapo ni huyu dogo thiago alcantara yule ni kinda wetu c jui kwanini tulimuachia ila najua ni pep ndio alie muomba ukizingatia zaid yeye ndie alemkuza kutoka lamasia one day atarudi camp nouNingefurahi sana kumuona Paul Pogba Barcelona pamoja na Thiago Alcantara.
Dani Alves came from Sevilla 2008/2009
Barca won CL 2008/2009
Adriano came from Sevilla 2010/2011
Barca won CL 2010/2011
Rakitic came from Sevilla 2014/2015
Barca won CL 2014/2015
Vidal came from Sevilla 2015/2016
If you know what i mean
rais ameulizwa akasema kwa mda huu hatuna haki ya kusajili wachezaji mpaka january 2016 akaulizwa je ikifika hiyo 2016 mnampango wa kumnunua amesema suala hilo siliwezi kulijibu kwa mda huu mpaka mda huo utapofika ila inaonyesha anamtaka ila ban ndio inayosumbua na ikifika mda huo 2016 hata huko real watamchukua ukizingatia pogba ni mfaransa na zidane yuke katika jopo la uongozi wa real madrid anaweza kwenda kumshawishi ila maamuzi anayo yeye mwenyewe yule dogo nimemkubali japo kua style anayo cheza sio ya barca ila akija pale catalunya atakaa sawa kama alivyokaa sawa suarez na rakitiki huwezi kuamini rakitik namna alivyokava nafasi ya xavi big up kwake rakitik.jana rais wa barca kathibitisha kumtaka pogba napogba mwenyewe anaitaka barca
Ningefurahi sana kumuona Paul Pogba Barcelona pamoja na Thiago Alcantara.
Pogba japo ni zao la Man U ila sipend aje Barca amezid unyangema sana
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha karibu ulimwengu wa burudaninimekoma kumchukia messi na barcelona.....nanyanyasika tu miaka yote hii!nimejitoa utumwani!
nimekoma kumchukia messi na barcelona.....nanyanyasika tu miaka yote hii!nimejitoa utumwani!
nimekoma kumchukia messi na barcelona.....nanyanyasika tu miaka yote hii!nimejitoa utumwani!