FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ningefurahi sana kumuona Paul Pogba Barcelona pamoja na Thiago Alcantara.

jana rais wa barca kathibitisha kumtaka pogba napogba mwenyewe anaitaka barca
 
Ningefurahi sana kumuona Paul Pogba Barcelona pamoja na Thiago Alcantara.
yaani kati ya yote hapo ni huyu dogo thiago alcantara yule ni kinda wetu c jui kwanini tulimuachia ila najua ni pep ndio alie muomba ukizingatia zaid yeye ndie alemkuza kutoka lamasia one day atarudi camp nou
 
Dani Alves came from Sevilla 2008/2009
Barca won CL 2008/2009
Adriano came from Sevilla 2010/2011
Barca won CL 2010/2011
Rakitic came from Sevilla 2014/2015
Barca won CL 2014/2015
Vidal came from Sevilla 2015/2016
If you know what i mean

Duh nimeipenda hiyo
 
jana rais wa barca kathibitisha kumtaka pogba napogba mwenyewe anaitaka barca
rais ameulizwa akasema kwa mda huu hatuna haki ya kusajili wachezaji mpaka january 2016 akaulizwa je ikifika hiyo 2016 mnampango wa kumnunua amesema suala hilo siliwezi kulijibu kwa mda huu mpaka mda huo utapofika ila inaonyesha anamtaka ila ban ndio inayosumbua na ikifika mda huo 2016 hata huko real watamchukua ukizingatia pogba ni mfaransa na zidane yuke katika jopo la uongozi wa real madrid anaweza kwenda kumshawishi ila maamuzi anayo yeye mwenyewe yule dogo nimemkubali japo kua style anayo cheza sio ya barca ila akija pale catalunya atakaa sawa kama alivyokaa sawa suarez na rakitiki huwezi kuamini rakitik namna alivyokava nafasi ya xavi big up kwake rakitik.
 
_AIN3213-Optimized.v1433700558.JPG_AIN3389-Optimized.v1433700585.JPG_AIN3420-Optimized.v1433700589.JPG_AIN3607-Optimized.v1433700620.JPG
_AIN3636-Optimized.v1433700612.JPG_AIN3644-Optimized.v1433700616.JPG_AIN3389-Optimized.v1433700585.JPG
 
Duh!! chebi hizo sherehe ni noma, asante kwa picha
 
Last edited by a moderator:
OFFICIAL: Dani Alves extends his contract at Barcelona till 2017! Dani has an option to extend his two-year contract by an additional third. Great news for culés!
 
Back
Top Bottom