FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

King gan anaonesha uwezo kwa tmu moja tu na akiwa national team anakua mtupu namashaka na uwezo wake mess nadhan n mbaatishaji
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha sasa unawazarau arsenal kupigwa 4 na messi
 
Mech za watto sifatilii naitaji nimuone copa america hii akionesha uwezo ndpo nseme amefikia uwezo wa dona
ha ha ha ha ha ha ha ha ha kumbe miaka 23 au 20 bdo mtoto na hii ndiyo sababu mnasajili wakina ings nyie liverfool
 
Niliangalia na sikuona jambo la ajabu kwake bado ajanishawish ni bora ya yule garasa la man u di maria
hujaona alichokifanya kwa sababu si fan kwako lakini hilo goli alotia agero angalia replay halafu uje kutoa sababu nyengine
 
Back
Top Bottom