Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani habari yako nakuona uko uwanjani!
Mi the blues damu ata damu yangu Ni ya blues........
Teh teh teh teh!! Acha kujidanganya basi?? Karibu chama kubwa.
Chama gani hilo mbele ya Chelsea?
Mimi ni familia ya chelsea na Madrid!Kabisa mtani, karibu chamani
Zouma mzee wa kutekeleza maagizo,hilo ndo bas packer la Mou....lolMy baby everlenk njoo huku kuna watu wanaleta dhereu kwa Zouma
Mhhh!!! Nimuogope huyu kwa lipi,nampenda ex mke mwenza,ila kuwa Tayari kujibu maswali wakat timu ikiwa uwanjani hivi hapa leo ROnaldo anacheza namba ngapi?Messi anaenda kupiga offside,ntu kafanyiwa faulo katikati ya uwanja utasikia Babby PNC hapa refa katunyima penati kabisaa, utasikia hivi Barca watacheza lini WC?....lol
JF nzima sportladies za ukweli+@Bantulady
Mimi ni familia ya chelsea na Madrid!
Mimi ni familia ya chelsea na Madrid!
Zouma mzee wa kutekeleza maagizo,hilo ndo bas packer la Mou....lol
Mhhh!!! Nimuogope huyu kwa lipi,nampenda ex mke mwenza,ila kuwa Tayari kujibu maswali wakat timu ikiwa uwanjani hivi hapa leo ROnaldo anacheza namba ngapi?Messi anaenda kupiga offside,ntu kafanyiwa faulo katikati ya uwanja utasikia Babby PNC hapa refa katunyima penati kabisaa, utasikia hivi Barca watacheza lini WC?....lol
JF nzima sportladies za ukweli+@Bantulady
Acha fitina mtoto wa kike...loooh!!!! Ntakusuta na matarumbeta...
Sasa mie ndio mpuliza matarumbeta mwenyewe sijui wakati unanisuta utasikia kweli maana nitalipuliza hatari, alafu uache majungu hayo maswali nilikuwa nayauliza enzi hizooooo now nimewiva hatari, usinchukulie poa, vipi maumivu yameisha? Naona umerudi kwa mbwembwe hatari!!
Hahahah huwa yanatulizwa tu,si unajua tena wanasema real love never die......
Hahahaaaa! Poa mamii, gnt.
La liga itarushwa na Azam season hii inayokuja