FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

2015-08-26_ENTRENO_23-Optimized.v1440588743.JPG
2015-08-26_ENTRENO_33-Optimized.v1440588771.JPG
 
Naona awamuu hii ronaldo alikubali kiwango cha dogo

Mbona Ronaldo huwa anatambua sana kwamba hamfikii Messi, ndo maana huwa anafanya mazoezi saana na kujituma ili amfikie Messi. Ila mashabiki wa Ronaldo sasaaaa...............
 
Haswaaaaaaaaaaaa mkuu upo sahihi
 
MSN IS BACK
pic_2015-08-28_ENTRENO_08-Optimized.v1440760811.JPG

Sijui vile vilaza Man U vilifikiria nini kumsajili Neymar, yaani mtu aache Club ambayo ana uhakika wa Makombe kisha aende kwenye timu inayopigania top 3. Tena UEFA imeingia kwa kusuasusa msimu huu.
 
Weee usiniambie neymer kachukuliwa na mashetani!! Nitaacha ushabiki now now!
 
Back
Top Bottom