Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona awamuu hii ronaldo alikubali kiwango cha dogo
Haswaaaaaaaaaaaa mkuu upo sahihiMbona Ronaldo huwa anatambua sana kwamba hamfikii Messi, ndo maana huwa anafanya mazoezi saana na kujituma ili amfikie Messi. Ila mashabiki wa Ronaldo sasaaaa...............
Ha ha ha ha ha ha ha haya mie ngoja nipitee
MSN IS BACK
![]()
Sijui vile vilaza Man U vilifikiria nini kumsajili Neymar, yaani mtu aache Club ambayo ana uhakika wa Makombe kisha aende kwenye timu inayopigania top 3. Tena UEFA imeingia kwa kusuasusa msimu huu.
Hiyo ni logo mpya ya barca ama?
Doooooooooooh!!!
Weee usiniambie neymer kachukuliwa na mashetani!! Nitaacha ushabiki now now!