Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, unaiombea Barca mabaya? Una pepo mchafuMshindwe na mlegeee nyie ndo leo mnalala ...
Hahqhaaaaa pnc nitakuwa mgeni wenu leo
Msiba ukitokea lazma tuje maana hamna namna sasaHatutaki wageni.
Hatutaki wageni.
Ha ha ha ha ha ha waambie hao wanafki
Msiba ukitokea lazma tuje maana hamna namna sasa
cute b nitamchapa huyu mtoto, ole wake azomee.
Mnakuja kufanya nini? Kuzika,kulia au kuhakikisha kama kweli mtu kafa?
Nitarudi kutoa le tamkozz
jamani line-up ya barcelona iwekeni hapa
Duh !!!! Ngoma nzito HT Athetico 0- 0Barca