FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kama kawa kama dawa mtoto yake nepi Wale mabingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE Fc Barcelona leo wapo uwanjani nchini Italy jiji la Papa wa 16 Namaanisha Roma Leo mnyama mkal King Messi atakuwepo akiwashangaza waitaly na midevu yao akiwafundisha mpira wa kikatalonia MECHI ITACHEZWA SAA 3:45 usiku ila kumbuka ukichelewa dakika 5 utamkuta mtoto wa Rosario kashafanya yake wale wanafk na mamluk watasubir saaaaaana wapi mamaa atoto Na wazee wa fc Barcelona Danny green chebi Aleyn na wadau wengine Tuko hapa mda huo tukichukua point 3 na magoli lukuki
 
Last edited by a moderator:
PNC 1 nasubiri mrejesho, and i wish luck to barca
 
Kwanini hujamtaja na everlenk?
 
Last edited by a moderator:
Harafu PNC 1 sio mtoto ni mtu mzima mwenzako Dota.

Whyyy!!!! Najua kabisa haka ni katoto tu ila kameharakia maisha na kuja kuparamia mitandao ya wakubwa....hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Sina la kuongea sbb Barca ni mchepuko wangu .....leteni mirejesho Mbona mnakimbia jukwaa mpaka uone goli ndo uje na kelele zako.

Ushauri wa bure. Kama hujafunga ndoa ya kikristu na manure, achana nao. Bora uhamie kwa baca kabisa kuliko kuendelea kuumiza roho yako, kisa timu mbovu.
 
Back
Top Bottom