Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka PNC 1 sema tumerudi wote maana hata mimi pia nimerudi aisee hii NEC nahisi imechota laana kwa Watanzania maana wameiba haki yetu.
Nimekumiss jackline1, najua na wewe ulikuwa ktk harakati, ukimaliza uje huku nyumbani tupumzike.
Dota everlenk, umempeleka wapi mtani wako atoto? mwambie mwezi ujao tunajiandaa kupambana na Madrid pale Bernabeu na kwa bahati nzuri mshika kibendera ameshajisalimisha kuwa kuna hongo anataka apewe ili aibebe Madrid, ila kwa bahati mbaya ndani ya hiyo siku Lionel Messi atakuwapo uwanjani.
Kaka chebi lete mipicha mpaka everlenk na mpambe wake cute b wasahau kurudi kule kwa Man U.
daaaaaah najitahd kusahau ila cwez nami natoa tamko sasa NEC NA MABEPAR WOOOOTE NA MLAAAAAAAAAANIWE KUANZIA SASSKaka PNC 1 sema tumerudi wote maana hata mimi pia nimerudi aisee hii NEC nahisi imechota laana kwa Watanzania maana wameiba haki yetu.
Nimekumiss jackline1, najua na wewe ulikuwa ktk harakati, ukimaliza uje huku nyumbani tupumzike.
Dota everlenk, umempeleka wapi mtani wako atoto? mwambie mwezi ujao tunajiandaa kupambana na Madrid pale Bernabeu na kwa bahati nzuri mshika kibendera ameshajisalimisha kuwa kuna hongo anataka apewe ili aibebe Madrid, ila kwa bahati mbaya ndani ya hiyo siku Lionel Messi atakuwapo uwanjani.
Kaka chebi lete mipicha mpaka everlenk na mpambe wake cute b wasahau kurudi kule kwa Man U.
Tukibaki hapa mtatuweza? Haha ha...
Hivi king Mess amaendelea poa eeh?
Aaaaaaaaaaaaameeeeen, sasa nasikia amani. Tunaweza kuchat kuhusu Barcelona yetu sasa.daaaaaah najitahd kusahau ila cwez nami natoa tamko sasa NEC NA MABEPAR WOOOOTE NA MLAAAAAAAAAANIWE KUANZIA SASS
MESSI YUKO mbioni kurud
Aaaaaaaaaaaaameeeeen, sasa nasikia amani. Tunaweza kuchat kuhusu Barcelona yetu sasa.
Ooooow vyema
Bado wiki 3 King Mess aanze kazi yake alaf pole na kutolewa F.A maana nimeckia leo
Yapp ni kweli ila nikiikumbuka ile saut ya kile kizee kilubuva nataman hata nipasue ule upara na vimiwani vyake maana haanzag na Edward ila na Lowasa Edward Ngoyai pumbaaaaaaaaaaavu saaaana
Ooooow vyema
Neno moja kwa Messi!
Hatujatolewa F.A.... wew umesikia wapi?
Sasa kama Rais ni Lowasa mbona makomeo kapata kura 65000Kimekondaaa...hahahaaaa.
ARUSHA NOW KILA MTU RAISI NI LOWASA...
HATUTOVUMILIA KUMILIKIWA NA MPIGA PUSH UP
Mbona nilisikia HV majuz mmecheza kombe Fulani na mkatolewa kwa goli 1:0
Neno moja kwa Messi!
Capital cup
Sasa kama Rais ni Lowasa mbona makomeo kapata kura 65000
Haaaaaa h ha ha ha pole mwaya