FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

juve tu walisha choka
Jana nilikuwa na watu nawachambulia soka nikawaambia Bayern leo ndo ilikuwa safari.
Kilichowaumiza Juventus ni ile kasi ta Bayern, Juve walishachoka kabisa. Bonucci, Chielin, Evra n.k wote walishachoka tayari na goli zote mbili za mwanzo zimefungwa wakati mmoja. Goli zingine mbili za mwisho zimepigwa pia wakati mmoja.
Bayern nzima jana waliwaanzisha vijana tuu, kasoro Frank Ribery ambaye naye alienda bench.
Ili Barca kumpiga Bayern inabidi umiliki wewe mpira mda mwingi pia uwe na watu ambao wakipata nafasi hawakuachi, apa nazungumzia akina Neymar na Messi au Kun Aguero.
 
Back
Top Bottom