FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahaha nafasi ya [emoji642]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nafas ya 6 nayo ya kujisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nafas ya 6 nayo ya kujisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo ni njia tu nafasi yetu ipo juu kule top4 just wait and see
 
yule ni mkula akikutana na mess way
Samahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
 
Samahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] MSN inamchanganya huyo sio bure
 
Namuondoa westham na man city. Man united itashika namba 4 trust mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] city Huyu Huyu aliyekupiga 6 ha haaahaaahahaaahaaaa. Mkuu jipangeni kwa msimu ujao msilazmishe mambo wakat msimu ushawatupa mkono
 
Back
Top Bottom