Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Huo ndo ukweli mfano mzuri yule sakho, Kolo. Man united tuna beki nzuriAhahahahahahahahahahaha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli mfano mzuri yule sakho, Kolo. Man united tuna beki nzuriAhahahahahahahahahahaha!!!
Nafikir thread imevamiwavip kuhusu simba na costo huko tupen matokeo
nasikia mess neymar na suang'ata wamepata majerui
Kwa nini unaichukia Barcelona imekufanya ninikrsho barca ni draw au kufungwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa hao beki wenu wazur wamewasaidia kushika nafas ya ngap??Huo ndo ukweli mfano mzuri yule sakho, Kolo. Man united tuna beki nzuri
Hahaha nafasi ya [emoji642][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa hao beki wenu wazur wamewasaidia kushika nafas ya ngap??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nafas ya 6 nayo ya kujisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha nafasi ya [emoji642]
Wasioipenda Barca ndo wanaongea hizo kauli.nasikia mess neymar na suang'ata wamepata majerui
Hapo ni njia tu nafasi yetu ipo juu kule top4 just wait and see[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nafas ya 6 nayo ya kujisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umekalia jiko la gesi nini, mbona unaongea lugha zisizoeleweka, krsho ndo nini sasa?krsho barca ni draw au kufungwa
Safi sana, napenda watu wenye imani kama ninyi.Hapo ni njia tu nafasi yetu ipo juu kule top4 just wait and see
Samahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??yule ni mkula akikutana na mess way
Ndo hivyo bila Imani mambo hayaendi haya.Safi sana, napenda watu wenye imani kama ninyi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa pale juu mnamuondoa naniHapo ni njia tu nafasi yetu ipo juu kule top4 just wait and see
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] MSN inamchanganya huyo sio bureSamahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
Namuondoa westham na man city. Man united itashika namba 4 trust mimi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa pale juu mnamuondoa nani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] city Huyu Huyu aliyekupiga 6 ha haaahaaahahaaahaaaa. Mkuu jipangeni kwa msimu ujao msilazmishe mambo wakat msimu ushawatupa mkonoNamuondoa westham na man city. Man united itashika namba 4 trust mimi