wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
Me sinaga tabia ya kubishana na stats mkuukakusanya umbeya nairaland na kuuleta bila kujiridhisha usahihi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me sinaga tabia ya kubishana na stats mkuukakusanya umbeya nairaland na kuuleta bila kujiridhisha usahihi wake.
Nimeona 2-1 haya ya msimu upi? [emoji41] [emoji41]
....hahahahaaaaaaaa..!! ni noooma!Jana BBC ikageuzwa TBC1...Dah mjerumani sio mtu mzuri.. Lakini tuweke akiba ya maneno. J4 sio mbali Ndugu zangu..
Kama hapa katikati CR7 HATAENDA MOROCO. HUENDA WAKAPINDUA MATOKEO........
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Nimeikuta mahala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitunyima raha kweli hawa.Mungu ushukuriwe Kwa kuwaleta Wolfsburg.
Sikia hii Beki wa Juventus, Giorgio chiellin
aliulizwa jinsi gan beki anaweza kuwazuia
Cristiano Rinaldo na Lionel messi pindi
anapokutana nao uwanjan alijibu hivi ''Ronaldo
unatakiwa usimpe nafasi ya kumiliki mpira na
usimruhusu akapiga shuti hasa kwa mguu wa
kulia , kuhusu messi njia nzuri ya kumzuia ni
kusali'