PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Leo ni Atletico Madrid dhidi ya FC BARCELONA miamba ya catalonia na kiufup nakuwekea maneno machache yatakayoongelewa na maadui wa BARCA baada ya dkika 90 mechi ya leo
1:BARCELONA anabebwa sababu kadi za njano zilitolewa nyingi ila wao wakifanya faulo wanaachwa
2: BARCELONA anabebwa ile kadi nyekundu ilikuwa sio halali
3: BARCELONA ni timu ya mbeleko wamepewa penat wakat wenzao wamenyimwa ya wazi
4: BARCELONA imeshinda goli nyingi sababu Atletico walikuwa wanaukosefu wa mastar kama Torres
5: Messi magoli aliyofunga ni ya kawaida sana
6: Tulijua BARCELONA ingepita sababu Atletico hivi karibuni amekuwa anafungwa sana na BARCELONA
7: BARCELONA ni timu inayocheza wakiwa 12 uwanjani maana refa wakwao ndio mana inaitwa Uefalona
VIVA BARCELONA MORE THAN CLUB