FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo ni Atletico Madrid dhidi ya FC BARCELONA miamba ya catalonia na kiufup nakuwekea maneno machache yatakayoongelewa na maadui wa BARCA baada ya dkika 90 mechi ya leo
1:BARCELONA anabebwa sababu kadi za njano zilitolewa nyingi ila wao wakifanya faulo wanaachwa
2: BARCELONA anabebwa ile kadi nyekundu ilikuwa sio halali
3: BARCELONA ni timu ya mbeleko wamepewa penat wakat wenzao wamenyimwa ya wazi
4: BARCELONA imeshinda goli nyingi sababu Atletico walikuwa wanaukosefu wa mastar kama Torres
5: Messi magoli aliyofunga ni ya kawaida sana
6: Tulijua BARCELONA ingepita sababu Atletico hivi karibuni amekuwa anafungwa sana na BARCELONA
7: BARCELONA ni timu inayocheza wakiwa 12 uwanjani maana refa wakwao ndio mana inaitwa Uefalona
VIVA BARCELONA MORE THAN CLUB
 
...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!

huku man city anongoza ligi kuu ya uingereza kule france psg ni wa 10
 
...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!

Ile ilikuwa robo fainali ya Champion League we pandilla usivunjie heshima haya mashindano. By the way Barca beaten their arses with 9 men at Nou Camp wako nafasi ya ngapi?
 
mna mukosi /// mkosi mbaya sna halafu kibaya zaidi goli zimefungwa na yule mnaesingiziaga goli zake hazina maana jamaa wale semi final

😀😀Bado mna safari ndefu so msijipe hope, ....tunaomba Mungu asaidie leo tupite!

Semi final
Madrid ♢ Bayern or Benfica
Sijui mtapumulia wapi hapo

El Baca ♢ Man city
Ushindi unaeleweka Baca oyee,
Hata tukutane kati ya hao,
Mtakao-kutananao tunapiga tu,
End of the day=we are the UEFA Champions League

Vivaaa El Vivaaa Baca
 
huwezi kuwa mkubwa bila kushindana na wakubwa.

na kwa ile baca mbovu kama hamna kadi nyekundu bas baca out.
 
...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!

Real Sociedad iko nafasi ya 10 kwenye la liga standings, lakini umesahau kakukojolea hata wiki haijaisha? Kweli we haupo serious.
 
Real Sociedad iko nafasi ya 10 kwenye la liga standings, lakini umesahau kakukojolea hata wiki haijaisha? Kweli we haupo serious.
mkuu sikuizi jukwaa hili ndio umefanya la kupumzikia sio mbaya tuwe pamoja hapahapa hadi ucku wa leo
 
Real Sociedad iko nafasi ya 10 kwenye la liga standings, lakini umesahau kakukojolea hata wiki haijaisha? Kweli we haupo serious.
...mbona una kichwa kizito sn,tunazungumzia UCL quarter final,wachana na biashara ya ligi za chumbani!!, km tukiweka grades, wale wolfsburg watakamata nafasi ya ngapi kwa timu zilizopo quarter final?!
 
mkuu sikuizi jukwaa hili ndio umefanya la kupumzikia sio mbaya tuwe pamoja hapahapa hadi ucku wa leo

Hawa akina PAGAN viherehere sana..ngoja tu semi-final watacheka vizuri, labda watumie information ya 8 1 1
AddTextToPhoto(13-4-2016-5-12-3).png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ile ilikuwa robo fainali ya Champion League we pandilla usivunjie heshima haya mashindano. By the way Barca beaten their arses with 9 men at Nou Camp wako nafasi ya ngapi?
...dogo huku usije kichwakichwa,utakula za chembe ohooo...anyway, sshv sitaki kelele na mtoto wa mama yeyote(RM fans),mpk badae, ndo n'taanza funguka,nw niko busy na Enrique tunapanga kikosi!
 
...mbona una kichwa kizito sn,tunazungumzia UCL quarter final,wachana na biashara ya ligi za chumbani!!, km tukiweka grades, wale wolfsburg watakamata nafasi ya ngapi kwa timu zilizopo quarter final?!

Acha kuongea utumbo, wewe kwenye grade kubwa mbona umepigwa game mbili ndani ya wiki tu.
 
Tukivuka kikwazo cha leo, kombe tunabeba. Na Madrid lazima apewe Bayern au Benfica, hawa jamaa tangu mtoano anapewa vibonde tuu.
 
Sawa umesikika, una kingine?

Fanboys wa Messi Leo mna maisha magumu naona pumzi zinakata kila dakika zinavyoyoyoma. Hii ilikuwa mpigwe tangu Nou Camp lakini Leo 22 players on the pitch. Bye bye losers!
 
...dogo huku usije kichwakichwa,utakula za chembe ohooo...anyway, sshv sitaki kelele na mtoto wa mama yeyote(RM fans),mpk badae, ndo n'taanza funguka,nw niko busy na Enrique tunapanga kikosi!

😀😀😀
 
Back
Top Bottom