Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]
Mimi mwanasoka siyo shabiki nitakuja Boss......[emoji2]Bibie ka vipi njoo BOCA JUNIORS aka LA BOCA kure aripo Carlos tevez tujiunge basii au wasemajee? Baca+Boca= ndugu wawili
Poleni msimu wenu Ulaya umeisha wale MSN wajipange tena
Barca wamebakwa
Eti maisha ya naendelea wakati kile kitoto cha dumila kimejiuwa kwa kujitupia mtoni na yule baba yako mdogo kakimbilia mkuranga baada ya mkeka wa nyumba yake kuchanika.Maisha bado yanaendelea Forca Barca...
Eti maisha ya naendelea wakati kile kitoto cha dumila kimejiuwa kwa kujitupia mtoni na yule baba yako mdogo kakimbilia mkuranga baada ya mkeka wa nyumba yake kuchanika.
Eti fornca barca [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Teh Teh Teh Teh TehNtuzu Mambo vipi aise? Mi najua upo Baserona nikupe like ya nguvu! Kumbe kilaza team madri-pampers! Pore sana jamaa yangu
ukitaka kuiona 0713 ya Kuku subiri upepo.....hey heh heh juzi upepo ukavuma na tukauona wa Barca
Wewe mzee kikongwe unatukana sanaukitaka kuiona 0713 ya Kuku subiri upepo.....hey heh heh juzi upepo ukavuma na tukauona wa Barca
Nendeni chitchat msiituharibie jukwaa