FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC BARCELONA IMEFANYA MAUAJI YA HALAIKI[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] gijon ajiandae
 
....Mpagan na mwenzio mmiliki wa saa mbovu,hata salamu ndugu zangu?!,
Barca noma sn,yaani wamewarudisha kwenye yale mashimo yenu mapema sana,ila inabidi,sababu mnachonga sn!

Unashangilia nini sasa? Bora unyamaze Tu wenzio wapumzike hii wiki Kuliko kutuita huku. Subiri champion league mwakani, la liga bado mioyo inawaenda mbio hampumui. Na Copa lazima mkalishwe
 
umekuwa mpole ghafla
 
...Ooups!, mbona pumzi imekukata mapema hivyo?!,rilaaaxxx!, na bado!, sasa hivi kazi yenu ni kuhesabu magoli ya Barca tu!
 
Nyinyi ndio mmekuwa wapole na jukwaa la michezo linaamani sasa. Maana nyie nyau mlikuwa mnaoneka thread zote humu mnaleta fujo, sasa heshima imerudi. Jiandaeni kumfukuza everlenk maana kiama kinakuja.
 
kiama kipi Kwa Barcelona utasubiri saaaana
 
Save your comment bro! Kuna Espanyol na Betis Ni nuksi kucheza nao end of the season ukizingatia uko point moja away kupiteza Kila kitu. Na kucheza fainali za Copa na Sevilla Ni nightmare
 
hata Diportivo uliimba hizihizi ngonjera ila baada ya kuwapiga 8:0 ukajasema ni vibonde
 
Usinilishe maneno, sijawahi kusema Depor vibonde. We subiri dawa kutoka your city rival Espanyol.
 
Nimefurahi mno Tumepiga mtu 8, naona upande wa pili imewapa wakati mgumu sana,,jiangalieni msije pata (anxiety disorders) hii ndiyo BACAMadrinyonyo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimefurahi mno Tumepiga mtu 8, naona upande wa pili imewapa wakati mgumu sana,,jiangalieni msije pata (anxiety disorders) hii ndiyo BACAMadrinyonyo

Hao ndio usiwataje kabisa. Wakiwa one man down wamekupiga Camp Nou. Na sasa hivi wanacheza UCL nusu fainali. Hivi umepata wapi kiburi cha kuwabeza
 
Usinilishe maneno, sijawahi kusema Depor vibonde. We subiri dawa kutoka your city rival Espanyol.
...sasa mmebaki kuomba omba tu,wapi Makonda aje kuwabeba!! ilikuwa Depo..ooh mtakoma,hamtoki, kajileta kapewa,leo nimekutana nao k'koo bado wanachechemea!,wameniuliza vip, mbn hamuendi kuwapa pole?!,wakati mliwadanganya wanaweza!.
 
Back
Top Bottom