Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Mpagan na mwenzio mmiliki wa saa mbovu,hata salamu ndugu zangu?!,
Barca noma sn,yaani wamewarudisha kwenye yale mashimo yenu mapema sana,ila inabidi,sababu mnachonga sn!
umekuwa mpole ghaflaUnashangilia nini sasa? Bora unyamaze Tu wenzio wapumzike hii wiki Kuliko kutuita huku. Subiri champion league mwakani, la liga bado mioyo inawaenda mbio hampumui. Na Copa lazima mkalishwe
...Ooups!, mbona pumzi imekukata mapema hivyo?!,rilaaaxxx!, na bado!, sasa hivi kazi yenu ni kuhesabu magoli ya Barca tu!Unashangilia nini sasa? Bora unyamaze Tu wenzio wapumzike hii wiki Kuliko kutuita huku. Subiri champion league mwakani, la liga bado mioyo inawaenda mbio hampumui. Na Copa lazima mkalishwe
umekuwa mpole ghafla
...Ooups!, mbona pumzi imekukata mapema hivyo?!,rilaaaxxx!, na bado!, sasa hivi kazi yenu ni kuhesabu magoli ya Barca tu!
kiama kipi Kwa Barcelona utasubiri saaaana
hata Diportivo uliimba hizihizi ngonjera ila baada ya kuwapiga 8:0 ukajasema ni vibondeSave your comment bro! Kuna Espanyol na Betis Ni nuksi kucheza nao end of the season ukizingatia uko point moja away kupiteza Kila kitu. Na kucheza fainali za Copa na Sevilla Ni nightmare
kumbuka bado tupo kileleni. nyie endeleeni kuwasindikiza bayern UEFA.[/QUOTE]PNC and BuenosAires and Co., mgonjwa anatema uji huku, hali ni mbaya!
hata Diportivo uliimba hizihizi ngonjera ila baada ya kuwapiga 8:0 ukajasema ni vibonde
Unakaribishwa jumapili kuishuhudia Barcelona ikimbarca Gijon CAMP NOUUsinilishe maneno, sijawahi kusema Depor vibonde. We subiri dawa kutoka your city rival Espanyol.
Nimefurahi mno Tumepiga mtu 8, naona upande wa pili imewapa wakati mgumu sana,,jiangalieni msije pata (anxiety disorders) hii ndiyo BACAMadrinyonyo
...sasa mmebaki kuomba omba tu,wapi Makonda aje kuwabeba!! ilikuwa Depo..ooh mtakoma,hamtoki, kajileta kapewa,leo nimekutana nao k'koo bado wanachechemea!,wameniuliza vip, mbn hamuendi kuwapa pole?!,wakati mliwadanganya wanaweza!.Usinilishe maneno, sijawahi kusema Depor vibonde. We subiri dawa kutoka your city rival Espanyol.
pole kwa ban mkuu. jamaa hao mwaka huu sidhani kama wataambulia kitu. hata pachichi Suarez anawakomalia.Nimefurahi mno Tumepiga mtu 8, naona upande wa pili imewapa wakati mgumu sana,,jiangalieni msije pata (anxiety disorders) hii ndiyo BACAMadrinyonyo