PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Kufungwa tena kwa Barcelona ni had mwaka ujaoMagoliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungwa tena kwa Barcelona ni had mwaka ujaoMagoliii
GRanada alijiokoa mechi ya sevilla. na hii ni mbaya maana atarelax au kuamua kupaki basi na kuvizia counter. ina machale yananiambia kombe letu.Hii ya leo kweli ni fainali. Granada hataki kushuka daraja na barca anautaka ubingwa. Yeyote atakayepigwa itakuwa ni kilio kikuu.
hawawezi kumkaba. camp nou aliwapiga hat trick.kuna watu wanamioyo ya chuma eti Granada anaweza kushinda
amini Granada afiki 25+ King Leo 🙂atakuwa ameweka
VIVA BARCELONA
Cyo bingwaaaKumekuchaaaaaaaa Barcelona Bingwaaaaa
mi team BARCANyingi tuu
Mi team granada
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na wala Barcelona hatukutakiNyingi tuu
Mi team granada
Hahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na wala Barcelona hatukutaki