FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Walau tungekaa kileleni ndo ungeanza kuwapanga hawa akina Mathieu, hiki ni kipindi ambacho inabidi tukaze kwelikweli.
jamaa kapunguza mwendo na leo anaweza kukaa. ilikuwa chance nzuri kumpita.
 
huyu jamaa hajawahi kuwa strategist wala tactician mzuri. watu hawampigii kelele sababu timu inambeba na kuleta matokeo. pale usajili aliofanya ni Umtiti na Dennis tu ndiyo wanasomeka. pumbavu zake!
Hivi Rafihna ni majeruhi?
 
leo Barca was not our day- but ilibidi tuondoke na point 3-the ref robbed us of a clear goal- Mungu amlaani
 
Ila mpira bana sasa leo hatuna sababu hata moja tumeshindwa kumfunga BETIS kwa kufuata rotation ya kupumzisha wachezaji ya ajabu ajabu
 
Sio kwa kubebwa huku
 

Attachments

  • TMPDOODLE1485718850095.jpg
    TMPDOODLE1485718850095.jpg
    24.2 KB · Views: 48
9dc0cb92afc9d7802a341931d64e8c3e.jpg


Eeeh leo hapo tumewapita Barca point Nne, mchana wali choke sjui wanaumwa nn
 
haijaanza leo.
upload_2017-1-29_22-22-6-png.465076
upload_2017-1-29_22-25-50-png.465078
upload_2017-1-29_22-23-14-png.465077


Keep whining cry baby. Hizo meme hazisaidii kitu, Bora utoe ushauri kwa kocha wako apange kikosi kamili la liga ishafikia hatua ngumu hii. Mbona hatujawahi kusikia Real Madrid wakiwalalamikia Barkalona?
 
umeona wapi mpira wa ligi timu inajiongelea yenyewe? yanayotokea kwa timu moja huathiri nyingine. bila kuongea zile offside za leo zote zingekuwa magoli.
league nzima unaiona madrid tu , [emoji134]
 
Keep whining cry baby. Hizo meme hazisaidii kitu, Bora utoe ushauri kwa kocha wako apange kikosi kamili la liga ishafikia hatua ngumu hii. Mbona hatujawahi kusikia Real Madrid wakiwalalamikia Barkalona?
kocha akipanga kikosi kamili haitasaidia ikiwa goli kama hili linakataliwa.

upload_2017-1-29_22-42-33-png.465082


halafu haya yanakubaliwa.

upload_2017-1-29_22-22-6-png.465076
 
Back
Top Bottom