kaka nadhani tusubiri hadi tarehe 28 tuone,mimi binafsi barca,na ktk soka naamini vitu hivyo vinatokea,nina mifano italy kuanzia 1970 hadi leo kila baada ya miaka 12 inacheza fainali world cup,hiyo mifano uliyonipa ya wacheza tennis sijui wakimbiza farasi simo,nipe mifano ya soka,eg algeria kila ikicheza na nchi zetu eg tz,kenya,uganda au sadc kwa ujumla inafungwa ila ngoja wacheze na nchi kama egypt au morocco au hata kisoka zipo juu kama nchi za magharibi utawakataa kuamini wanafungwa na nchi za east afrika,soka naliheshimu na mara nyingi nafuatilia sana soka nilishakula hela za wa2 1998 fainali france vs brazil,watu walinibishia brazil wanacheza sana ball,soka usiangalie eti timu ikicheza boli tu basi inajua kuna kitu pia historia inamata sana ktk soka,mimi ungeniambia barca nayo inaujulia vizuri wembley nikngekuelewa maana ilishawafunga aseno 4-2 mwaka 2000 wakati huu highbury hauruhusiwi ktk uefa champs ligi hatua ya makundi hapo wembley na sampodoria 1-0 fainali,kwahiyo tusibishane sana,tusubiri mpaka tarehe 28 ndipo uje na pointi zako kama kunikosoa,maana sasa ni mapema,najua unadhani labda nasapoti man utd hapana la,ila england naheshimu timu 2 ambazo hazina masihara ktk mechi za kimataifa liverpool na man utd,kama bongo simba,na ndio maana ni simba pekee bongo ndio imeweza kufunga timu za misri zipatazo 5,ahly,zamalek,ismailia,arab contractors na mehalla el kubra zote bongo,ila ikienda misri kichapo,hiyo ndio mifano inayonifanya soka mimi niamini historia na rekodi,sio chenga twawala,barca ya sasa naikubali inacheza team work tofauti na wakati ule ilikuwa chenga twawala haina mafanikio,ila mechi yao na man utd,naipa nafasi man utd kufuatana na rekodi niliyoongelea nyuma,zaidi tusubiri tarehe 28 mei