Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itarudiwa hata na ya kwanza waambie hivyo waonja sumuNa kuna watu wamesign petition eti game ya barca na PSG irudiwe[emoji57] [emoji57]
Kabisa...kwan rakitic kaumia..aingie Ivan bnaIla Gomes Andres atolewe please
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]kila nikikumbuka ile mechi nadinda😉😉😉.
Yeah tunahitaji kutawala sana mpira katikati so ataingizwa Ivan na IniestaKabisa...kwan rakitic kaumia..aingie Ivan bna
Sio goal la technique ni bahati mbaya tu imetokea kwa goalkeeper ametemea ball mguuni kwa Deportivo ,halafu hawa wanajihami wanachungulia shimo lakushuka darajaTumewekwa kimoja