FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Valencia atolewe sasa naona hii mechi ni kubwa sana kwake....

Man United haina Midlfiedl ya kuhimili na kucheza na barca. huo ndo ukweli Tatizo sio Valencia hata akitolewa atayeingia aytakuwa kuungo tena mbaya anaweza akawa kiungo mzuiaji?
 
N jambo jema,linalokubalika na kupendeza kujipa moyo na kuwa na matumaini....nasubiri hilo lolote!

He he he he hujanisoma hapo juu Michelle!? Nimeshatoa hongera zangu kwa ushindi mnono wa BARCA
 
Man United haina Midlfiedl ya kuhimili na kucheza na barca. huo ndo ukweli Tatizo sio Valencia hata akitolewa atayeingia aytakuwa kuungo tena mbaya anaweza akawa kiungo mzuiaji?

hapa ingekuwa arsenal vs barca halafu 11 kwa 11 mechi inachezewa uk, hakyanan kombe letu!
 
Leo Ferguson ataingia kucheza mwenyewe,naona mabadiliko kila saa.....ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!:grouphug:
 
Man United haina Midlfiedl ya kuhimili na kucheza na barca. huo ndo ukweli Tatizo sio Valencia hata akitolewa atayeingia aytakuwa kuungo tena mbaya anaweza akawa kiungo mzuiaji?
Mkuu all season long nilishasema midfield yetu mbovu, vile vile tunammiss Fletcher. Barca wamesoma mchezo na kufunga magoli mawili ya haraka haraka kutokea mbali tofauti na zile chenga zao mpaka nyavuni.
 
Back
Top Bottom