Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhhhhhh.........Huyu David Villa asipofunga leo.....
It is all over
Barca 3 - 1 Man Utd
Valencia atolewe sasa naona hii mechi ni kubwa sana kwake....
Bado kuna dakika nyingi lakini na lolote linaweza kutokea kugeuza mwelekeo wa mechi hii.
In deed, its over....Bravo Barca!!..magnificent team!!!
I said it too.....
Itabidi nimrithi sheikh Yahya......Hahahaaaaaaaaaaaaaa....
Inaumaaa.....
Leo yanaweza fika 5,am just saying...
N jambo jema,linalokubalika na kupendeza kujipa moyo na kuwa na matumaini....nasubiri hilo lolote!
Man United haina Midlfiedl ya kuhimili na kucheza na barca. huo ndo ukweli Tatizo sio Valencia hata akitolewa atayeingia aytakuwa kuungo tena mbaya anaweza akawa kiungo mzuiaji?
Mkuu all season long nilishasema midfield yetu mbovu, vile vile tunammiss Fletcher. Barca wamesoma mchezo na kufunga magoli mawili ya haraka haraka kutokea mbali tofauti na zile chenga zao mpaka nyavuni.Man United haina Midlfiedl ya kuhimili na kucheza na barca. huo ndo ukweli Tatizo sio Valencia hata akitolewa atayeingia aytakuwa kuungo tena mbaya anaweza akawa kiungo mzuiaji?
Pole sana Belinda kesho usisahau F1 labda unaweza kufurahi
Man U naona wanakimbia kimbia tu bila mpangilio. Kushi nehi.
He he he he hujanisoma hapo juu Michelle!? Nimeshatoa hongera zangu kwa ushindi mnono wa BARCA