FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona sio timu ya kuipimia hata kidogo,wale mpira wanaujua na ndo klabu bora na inayotandaza soka la kuvutia duniani,tatizo la Man u walikuwa wanachonga tu hawajui mpira ni dakika 90,katika misimu sita timu ya Barcelona wamechukua ubingwa mara 3.Hongera sana BARCELONA.
 
Hi ni kali,yaani dogo Fabio alipigwa chenga hadi nyonga zikaanza kuuma na akaamua kushika mlingoti wa goli,jamani wapenzi na mashabiki wa Man u poleni sana,BARCELONA ndo timu bora ya dunia na hakuna timu inayoiweza kwa sasa.
 
I am not aa Barca fan,but we should give Barca a respect they deserve sio ooh wanabebwa,ooh pique kamalizwa na Shakira,lesson to Man U fan...Barca are not beatable outside the pitch

BARCA MAN U

Possesion 68% 32%

Goals 3 1

Attempts on target 13 1

Attempts off target 3 2

Corners 6 0


Fouls 5 16


We couldnt cope with Messi - Sir Alex Ferguson

This defeat hurts,we must learn the lessons - Chicharito

We have never played a team that good - Nemanja Vidic

That was an education to Man U - McCLaren
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
he he..nimeshajua ulipo,yuuuu!! j3 ni BH??!..Mbu anakuzingua, Manure 3-1 Barcelona FT...UEFA winner 2011 ni Barca!!..khe khe khe
heheeh BJ bana! hiyo sio official BH, hiyo ni klorokwini BH na tayari nimeiextend mpaka jumatano, Anytime naweza nikatinga katalunya laiv.
 
Man lazima wapewe pongezi hasa Van de sar, kwani ilikuwa wapokee kipigo si chini ya tano
 
Wana man leo kimya yaani no kelele,jana wamechezeshwa kama watoto BARCELONA ni mziki mnene MAN walishindwa kuucheza.
 
Inabidi wakacheza na timu za amerika ya kusini labda watapata upinzani, walikuwa wanadai barca bila red hawawezi jana red haijatoka na watu wamepigwa kama wamesimama.
 
Observer badala ya kuanza na neno nikiwa kama mchambuzi uanze na neno nikiwa kama mtabiri, uchukue jukumu la pweza paul, unaonaje hapo mkuu observer.
 
Huyu babu alitafuta ushauri kwa morinho wakati alishapigwa tano badala ya kuja na mbinu akaja na visingizio naami fergie hakupata chochote ndo mana alijisemea atasikiliza ushauri lakini atajichezea mpira wake utaratibu wa kutukana watu hajauzoea.
 
yaani mpaka mpira unaisha Man u hawakupata hata kona moja,shout on goal Man U walipiga shuti moja tu golini.Jamani kweli Man U hata wafanyeje hawaiwezi BARCELONA.
 
Jeshi la Yesu Kristo likiongozwa na Lionel Messi limeliangamiza jeshi la mashetani wekundu,mashetani hao wenye mapepo waliangamizwa jana usiku kwenye uwanja wa Wembley huko uingereza,shetani huyo mwekundu kuanzia jana ameokoka na amekubali kumpa Masiha maisha.
 
Barc ni balaa, watoto wa feg walibadilika wakawa kama ile timu yetu ya mchangani bali kijijini, duh man u aibu tupu!!!!
 
Mi leo haka mambo safi napiga zangu wyne kujiburudisha nyumbani na wife. morogoro kimetuliaaaaaaa wapenzi wa barca tupo kiduchu lakini ndo furaha ikokwetu. kama real madrid watacheza mpira clean usio na faulo za wivu basi madrid kuifunga fc barca itakuwa ni ndoto
 
fcb ni noma mana wanapiga pasi sometimes huku wanatembea wakati man wanakimbia balaa kuutafuta mpira kama m2 atafutae kitu gizani na tochi.
 
Rooney akawa kama beki ila walichemsha sana kumkaba Messi mpaka Valencia akawa anamchezea rafu mara kwa mara
 
babu giggs alikuwa hoi sijui kwa sabb ya skendo ya womanization.
 
camera nazo noma c wakamvuta fegie akitetemeka na kuvibrate. Bila banzoka angepata stroke pale.
 
Back
Top Bottom