Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 478
Barcelona sio timu ya kuipimia hata kidogo,wale mpira wanaujua na ndo klabu bora na inayotandaza soka la kuvutia duniani,tatizo la Man u walikuwa wanachonga tu hawajui mpira ni dakika 90,katika misimu sita timu ya Barcelona wamechukua ubingwa mara 3.Hongera sana BARCELONA.