FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

JANA JUVE KABEBWA ILA .WATU KIMYA NA REFA NI MZURI

ILA WAKIJA NYUMBANI WAKISHUGHULIKIWA MNAANZA KELELE TUMEBEBWA

Tunawataka Bayern SEMI FINAL

Labda semi final ya msimu ujao.
 
maombi yangu leo mshinde ili nusu iwe R.MADRID vs BARCA

Siku hizi ukiona Real Madrid kaingia nusu fainali ujue anabeba kombe. Wewe huwezi kucheza nusu fainali ukiwa nje ya mashindano.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
We waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa football
Offside zao ,handballs zao zote tumeziona na kuamua kutulia kimya
juzi kati na Malaga tumenyimwa penati ya waziwazi. kuna mchezo wameamua kutuchezea. Neymar wamemsuspend mechi tatu za ligi na atakosa el clasico.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
We waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa football
Offside zao ,handballs zao zote tumeziona na kuamua kutulia kimya
Kuna faulo alichezewa 'S Roberto na manzukic (baada ya kwanza wote kupewa yellow ), refa akapeta na ilikuwa ni straight red Card, lakini hata yellow ya pili hakuitoa
 
Back
Top Bottom