laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
pale nou camp washabiki wengi wamesema hawataenda mpirani wanajua wanaenda kuaibika tuwanaenda wapi? au viroba.vya asubuhi asubuhi vinakupeleka puta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pale nou camp washabiki wengi wamesema hawataenda mpirani wanajua wanaenda kuaibika tuwanaenda wapi? au viroba.vya asubuhi asubuhi vinakupeleka puta
labda CAMP NOU ya huko kwenu Lumumbapale nou camp washabiki wengi wamesema hawataenda mpirani wanajua wanaenda kuaibika tu
ndio hivyo washabiki wa barca wameshasema hawatakanyaga uwanjani watadhalilishwa tu na juve.........na leo hakuna kubebwa tena na refalabda CAMP NOU ya huko kwenu Lumumba
unafikiri sisi ni Madrid hao waliozoea mbelekondio hivyo washabiki wa barca wameshasema hawatakanyaga uwanjani watadhalilishwa tu na juve.........na leo hakuna kubebwa tena na refa
mnatia huruma sana kama sio uonevu PSG ndio ingekuwa inacheza na barca leounafikiri sisi ni Madrid hao waliozoea mbeleko
ile ya jana ni sahihi kabsa?mnatia huruma sana kama sio uonevu PSG ndio ingekuwa inacheza na barca leo
Hakuna kubebwa kama Madrid eehleo hakuna kubebwa na refa
Mkuu nikumbushe pia ule wa Ac MilanSababu 5 kwanini Barca anaweza kugeuza matokeo na kufuzu vs Juventus
Barcelona wanahitaji historia nyingine leo usiku ili kuendelea kubaki katika michuano ya ulaya – ni ngumu lakini kuna sababu za kuamini kwamba kikosi cha Luis Enrique kinaweza kufanya maajabu tena msimu huu.
“Tuna asilimia 1 ya kufuzu, 99% zipo pande zote, tukiwa na imani na kuomba Mungu, magoli yatakuja tu.” – alisema Neymar ambaye aliiongoxa Barcelona kugeuza matokeo dhidi ya PSG na sasa anasisitiza kuna uwezekano wa kufanya hivyo tena. Barca wamekuwa na uwezo wa kubadili matokeo lakini pia wamekuwa wakipokea vichapo vikubwa.
Pamoja na ushindi wa 3-0 jijini Turin wiki iliyopita, Juventus wana kumbukumbu ya ushindi wa Barca dhidi ya PsG vichwani mwao. “Barca ni kama Papa baharini, pindi tu wanaponusa damu.” Alisema Giorgio Chiellini ambaye pia amesisitiza haiwezekani kuondoa uwezekano wa Barca kugeuza matokeo. Sasa tuangalie sababu zinazotajwa kwanini Barca wanaweza kugeuza tena matokeo.
Messi
Watu walio karibu na Messi wanasema amepania kubadilisha matokeo na kuisaidia timu yake kufuzu nusu fainali. Kama alivyoonekana kwenye mchezo dhidi ya Real Sociedad, moyo wake wote upo katika mchezo wa usiku wa leo.
Katika La Liga tayari ameshafunga magoli 29 na anaongoza kwa ufungaji katika ligi ya mabingwa wa ulaya akiwa na magoli 11, ana upungufu wa magoli 11 tu kutimiza idadi ya magoli 500 akiwa na Barcelona. Kama Barcelona watataka kutimiza mageuzi mengine ya matokeo katika msimu huu basi watahitaji Muargentina huyu kuwa katika kiwango chake bora kabisa – na akiwa kwenye kiwango chake cha juu hakuna wa kumzuia.
Sergio Busquets IS BACK
Bila uwepo wake, Barca walikuwa dhaifu jijini Turin, asipokuwepo dimbani timu inakosa kiungo muhimu katikati. Safari hii atakuwa na uwezo wa kumuweka Dyabala kwenye ulinzi na kuipanga vizuri timu ambayo safu yake ya ulinzi imeruhusu magoli 7 katika mechi za hivi karibuni. Busquets anajua vyema namna ya kuilinda safu yake ya ulinzi tofauti na Mascherano aliyecheza katikati wiki iliyopita.
The Blaugrana watahitaji kutoruhusu goli na kuwahi kufunga la mapema ili kuweza kuiongezea Juve presha na kupata magoli mengine na ili kufanya hivi wanahitaji mtu aina ya Busquets anakuwa kiungo muhimu kati ya safu ya ulinzi na ushambuliaji.
Mbinu za kiufundi
Je tutaona mfumo wa 3-4-3 au mwingine au tuliozoea wa 4-3-3? Barça wanaweza kuwashtua Juve na mfumo wa uchezaji watakaouchagua. Kule Turin, waitaliano walitumia udhaifu wa mbinu ya Enrique kupanga mabeki watatu nyuma wakimtumia mchezaji kama Cuadrado.
Jordi Alba anaweza kurejea kikosini, huyu anaweza sana kuleta matatizo akishirikiana na Neymar – hili litampa shida sana Dani Alves. Sergi Roberto, pia kama ilivyokuwa katika mchezo vs Real Sociedad, anaweza kuwa na mchango mkubwa katika mfumo wa 4-3-3.
Kumbukumbu za nyuma
Kwa mara 3 Barcelona wamewahi kufanikiwa kubadilisha matokeo ya magoli 3-0 katika mashijdano ya UEFA. Mara ya kwanza ilikuwa msimu wa 1977-78 dhidi ya Ipswich Town ambapo walipoteza mchezo wa kwanza wakaenda Camp Nou kushinda kwa penati. Mara ya pili ilikuwa msimu wa 1978-79 vs Anderlecht hapa pia walisawazisha na kisha wakaenda kushinda kwa penati. Halafu ukaja mchezo mwingine ambapo walitanguliwa 3-0 na Gothernberg kisha wakaenda kushinda mchezo uliofuatia msimu wa 1985-86 kwa penati tena.
Halafu kuna huu mchezo wa majumaa kadhaa yaliyopita vs PSG ambapo walitanguliwa 4-0, kolichotokea Nou Camp ni historia…….
Machinjoni Camp Nou
Kama kuna sehemu ambayo Barca wanaweza kukufanyia unyama wa kisoka basi ni Camp Nou – ushahidi pekee ni takwimu za msimu huu tu katika mechi za ulaya zilizopigwa katika dimba hili msimu huu: Matokeo yote waliyopata Bsrcelona dhidi ya timu zote walizocheza nazo katika Champions League msimu huu yangetosha kabisha kuwaondoa Juventus katika michuano, Celtic alikufa 7, Monchengladbach alipigwa 4 na Guardiola na City nao walikula 4, PSG akapigwa 6, leo waitaliano watagongwa ngapi?
Ac MILAN iloyokuwa na mabeki wakatili mechi ya kwanza walitupiga 2 BASHITE ila walipokuja CAMP NOU MACHINJIONI alikuwa ni yuleyule.mchawi wa SOKA FROM ANOTHER PLANET aliyepiga boooonge la goli mnamo dakika ya 6 kwenye msitu wa mabeki wa5 tena nje ya 18 FULL TIME ILIKUWA 4 KWA BASHITEMkuu nikumbushe pia ule wa Ac Milan
Asieeee ilikuwa story sana siku ile asbhAc MILAN iloyokuwa na mabeki wakatili mechi ya kwanza walitupiga 2 BASHITE ila walipokuja CAMP NOU MACHINJIONI alikuwa ni yuleyule.mchawi wa SOKA FROM ANOTHER PLANET aliyepiga boooonge la goli mnamo dakika ya 6 kwenye msitu wa mabeki wa5 tena nje ya 18 FULL TIME ILIKUWA 4 KWA BASHITE
BARCELONA TUNA HAKI YA KUCHUKIWA NA WASIOJUA MPIRA
ni kweli mkuu na hata leo yatawakuta ya AC MILANAsieeee ilikuwa story sana siku ile asbh
Figisu kama zajana hazitakuwepo mkuumajirani mpooo
nawatakia kila kheri
naomba haki itendeke leo acheni figisu figisu