Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Naf
Nafikiri saaa hizi ameamua juplay it safe.Yeah ame defend sana na hakupiga cross sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri saaa hizi ameamua juplay it safe.Yeah ame defend sana na hakupiga cross sana
Uongozi wa Barca hawajui wanachokitaka, wamezubaa sana, ila kuna kura ya kutokuwa na imani na rais wa Barca inakuja.Uyu neymar asepe 2 maana taarifa zake sshivi zinaboa 2...af barca nao drama nyingi afu action chache eti sasahivi tunamtaka hazard
Kwa sababu ya utoto wa NeymarSemedo wamegombana na neymar Leo mazoezini
Bado unaamini haya uliyoandika ?Dogo anapenda sana Barca hawezi kuhama trust my word
Sema sijui nani ameanza kuzusha na Msemaji wa Barca ameshasema Neymar is not for sale
Niliwaambia viongozi wa Barca ni vimeo ni aibu kubwa sana jinsi Neymar anavyoiburuza klabu kubwa kama BarcelonaUongozi wa Barca hawajui wanachokitaka, wamezubaa sana, ila kuna kura ya kutokuwa na imani na rais wa Barca inakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
I told you Rosell & Batromeu walifanya makosa kumsajili Neymar na kibaya zaidi anaendelea kuharibu image ya BarcelonaKwa sababu ya utoto wa Neymar
Halafu Bartmeo anasubiria nini kumuuza huyu mtu asepe eti ooh...anacheza chini ya shadow ya Messi ,wakati anahama santos hakujua kuna Messi?Messi alikua na Ball on Dor 4 kabla Neymar hajafika mbaya zaidi mwaka 2012-2013 alifunga goal 92 kabila hata ya mbrazil hajakuja
Assumption za watu wengine hazina kichwa wala miguu