FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wana Barca wenzangu, poleni kwa yaliyitukuta, ila ni heri yametokea Mapema ili tujirekebishe.

Kuna mambo kadhaa tunahitaji kuyajua na kuyajubali kuhusu mechi ya juzi.

1. Tukifungwa mechi ya juzi
2. Team ilicheza vizuri sana
3. Wakati tunatafuta goal la pili, tulifanyiwa shambulizi la kushitukiza ambalo Vidal alichelewa kurudi Ronaldo akafunga
4. Wakati pressure ilikuwa kubwa kutaka kusawazisha goal la pili, tulipoteza mpira kimasihara, wakati pass inatolewa kwa Assensio, rakitic kama sikosei aliusindikiza ule mpira kwa macho,wakati huo Vidal hakuwa tena kwenye position yake, Goal la tatu.

4. Sijui ni kwa nini kocha anamwamini Vidali dhidi ya team ambayo ni deadly kwa mashambulizi ya kushitukiza

5. Sergi Robert anatakiwa anatakiwa aanze badala ya Rakitic

6. Tunatakiwa kutumia nafasi vizuri kwa kila nafasi tunayopata

7. Mechi ijayo tutashinda na kuchukua kombe
Nilikuws na cheki highlights za mchezo Vidsl alizingua sana. Hata goli la kwanza Pique alijifunga akikaba nafasi yake. Hadi Marcelo anakuja kupiga cross yeye haonekani. Goli la pili Ronaldo kapigia kulekule, pique yuko peke yake yeye haonekani. Goli la Ascrnsio kulekule yeye hayupo. Isco alimuwa anamzungusha anavyotaka. Bora Roberto kwenye RB kuliko Vidal.
 
Mashabiki zaidi ya 50,000 Wa Barcelona waliohudhulia pambano la 13.08.2017 uwanja wa nou camp walimpiga picha christiano ronaldo alipoweka pozi la six pack
0a12bfdd72ab50090d1e7f69409c196f.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Iniesta kakasirika, eti mashabiki wengi wa Barcelona walikuwa wanamshangilia Real Madrid.
 
Screenshot_2017-08-13-21-05-33-1.png

Good news Messi yuko kwenye shortlist ya UEFA player of the year along with Buffon na Christiano Ronaldo
 
Barca wameshakubaliana na Dortmund kuhusu Dembele kwa bei ya 100m€. Bana wanabishana kuhusu bonus iwapo mchezaji atafanya poa. BVB wanataka 30m€.

Dembele wa kazi gani wakati marefa wapo?
 
Kinachonishangaza hivi Barca walituma maskauti China kumuangalia Paulinho au wameangalia video zake Youtube?
Usitukane mamba...... huyu Paulinho anaweza kuja na kuwa Mwiba. Kwenye NT huwa anaupiga mwingi sana
 
Tukiwa na vyote viwili Dembele na Marefa tutakuwa invincible. We leave nothing to chances🙂🙂🙂

Ha Ha Ha, lakini dogo nilikuwa namcheki tangu yuko France ni mtamu sana. I can see the bright future in him
 
Usitukane mamba...... huyu Paulinho anaweza kuja na kuwa Mwiba. Kwenye NT huwa anaupiga mwingi sana

Soka la Spain sasa hivi si la kitoto, mwangalie Joldi Alba wenu akiwa na NT anavyosumbua, lakini kwenye la liga watu wanamuachaga mbali Pique anabaki peke yake. Let's wait and see
 
Soka la Spain sasa hivi si la kitoto, mwangalie Joldi Alba wenu akiwa na NT anavyosumbua, lakini kwenye la liga watu wanamuachaga mbali Pique anabaki peke yake. Let's wait and see
Screenshot_2017-08-09-06-04-49-1.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom