FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We maku umeanza kushangilia mpira 2013 sio kosa lako ,Barca ime exist kabla hata ya huyo jamaa yako
😛 😛 😛 😛 😛 Maku Tena???? Mmevurugwaaa

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Kwani kamfanyia nini mkuu?? maana mi naona ramos anawafyagia kama hana akili nzuri!! yaani hawafurukuti kabisa!
Kama umeangalia mechi hii..kuna sehemu alijifanya km anampa mpira messi(kwa mikono)..messi alipotaka kuuchukua jaa akautupa yan..tafuta clip yake..au mdau mwenye nayo anaweza kuiweka hapa uone..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unavaaga suruali ina zeep na tundu kwa nyuma tumesikia habari zako
Wenziio wamelala wamekuachia hili zigo peke yako aisee, unatia hurumaaaa! 😛 😛 😛

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Wenziio wamelala wamekuachia hili zigo peke yako aisee, unatia hurumaaaa! [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Wewe na huyo wa Avatar yako mnafanana personality zenu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Naona umechanganyikiwa sasa.
Ronaldo 32yrs
Iniesta 33yrs.
Halafu unasema age moja.
Hata hivyo Ronaldo ana Asensio naona Iniesta ana Gomes hahaaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi Barca amekua kama kuku aliyekatwa kichwa, hawajielewi kabisa!!!

Yaani wanacheza tu ilimradi dakika zinaenda!!

Hovyo kabisa!!
 
Team kuanzi next week itakua poa sana ,we have challenges like new coach hajui wachezaji na bado hatujakamilisha transfers
Hamna kufa moyo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Galasa Aleix Vidal nilisikia wanamuhitaji AS Roma huu ndio muda wakutimua ,about Gomes Paulinho anakuja so muda wakusepa ili S Roberto na Carlos Arena apate muda mwingi wakucheza kumbuka Samper anaenda kwa mkopo kwa ajili yako ,Delouf jiandae next season urudishwe kwenye mkopo
Suarez na Terstegen wakate uzito gym
Two signing of key players left and right to drop the bomb this week
Team yetu ni kubwa hatujazoea unyonge
We gonna come back so soon
 
Madrid wameshakabidhiwa kikombe chao cha Aluminium
Ha ha ha kumbe ndio maana Barca hawakua na motivation nacho
 
Galasa Aleix Vidal nilisikia wanamuhitaji AS Roma huu ndio muda wakutimua ,about Gomes Paulinho anakuja so muda wakusepa ili S Roberto na Carlos Arena apate muda mwingi wakucheza kumbuka Samper anaenda kwa mkopo kwa ajili yako ,Delouf jiandae next season urudishwe kwenye mkopo
Suarez na Terstegen wakate uzito gym
Two signing of key players left and right to drop the bomb this week
Team yetu ni kubwa hatujazoea unyonge
We gonna come back so soon
Endelea kujifariji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu hata bado hatujaanza tuna muda we can do reconciliation
Tutaingia kwenye season na Psychology tofauti kabisa kama mnakumbuka preseason last year tulipigwa 4 bila
Hii results implies something
Baada ya Preseason mlifanya nini hiyo last season..!?
 
Back
Top Bottom