FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Babu usi underestimate wachezaji unaweza kuta Paulinho is better than your monkey Balle .Nyie mbona hamumzungumzii Bale na Benzema vipusa butu vibisa vya madrid

Vipusa butu wamekupiga nje ndani in a matter of 3 days, tena sio bao 5 tu walikuchezea mpira mpaka mlikuwa mnautafuta kwa tochi. Ha Ha Ha mpaka hawa wakina Aleyn wakakimbia jukwaa ndio wanaoneka leo
 
Vipusa butu wamekupiga nje ndani in a matter of 3, tena sio bao 5 tu walikuchezea mpira mpaka mlikuwa mnautafuta kwa tochi. Ha Ha Ha
Mashabiki wa Madrid na Manchester united wengi wao ni mashoga
 
Vipusa butu wamekupiga nje ndani in a matter of 3 days, tena sio bao 5 tu walikuchezea mpira mpaka mlikuwa mnautafuta kwa tochi. Ha Ha Ha mpaka hawa wakina Aleyn wakakimbia jukwaa ndio wanaoneka leo
Hujisikii raha pasipo kutaja watu unaowapenda
 
Mashabiki wa Madrid na Manchester united wengi wao ni mashoga

Kwa taarifa yako Barcelona ndio the most Gay City in Europe. Yaani all punks, hippies, watu wasio na msimamo wa maisha na mashoga wamejaza Barcelona wanarandaranda. Ukifika Nova Icari, San Sebasti, Barceloneta, yaani in short Barcelona ni jiji la machoko
 
Vipusa butu wamekupiga nje ndani in a matter of 3 days, tena sio bao 5 tu walikuchezea mpira mpaka mlikuwa mnautafuta kwa tochi. Ha Ha Ha mpaka hawa wakina Aleyn wakakimbia jukwaa ndio wanaoneka leo
Tumewahi kuwafunga mara ngapi nakushangaa una make headlines kwa team yakuunga unga,mwaka juzi November hamkukaa 4 mbona hatujapiga kelele au ndo ile design kipofu kaona mwezi
 
Wewe, yule dada mwingine wa kuitwa jackline pamoja na PNC 1 mlijipiga ban wenyewe. Hapa sifa zimuendee mwekundu tu peke yake, all win, loss and humiliation lakini bado anasimama na club yake. Nyinyi wengine mwaka huu mtahama JF
Ha ha ha ha ha ha ha ha dah, kitambo sana sijatokea kwenye thread ya Madrid
 
Tumewahi kuwafunga mara ngapi nakushangaa una make headlines kwa team yakuunga unga,mwaka juzi November hamkukaa 4 mbona hatujapiga kelele au ndo ile design kipofu kaona mwezi

Kama umepigiwa mpira mpaka unautafuta kwa tochi na timu ya kuungaunga, basi ujue timu yako ndio mahututi kabisa
 
Vipusa butu wamekupiga nje ndani in a matter of 3 days, tena sio bao 5 tu walikuchezea mpira mpaka mlikuwa mnautafuta kwa tochi. Ha Ha Ha mpaka hawa wakina Aleyn wakakimbia jukwaa ndio wanaoneka leo
Mkuu unaifunga Barca ya Gomes na Vidal na kuanza kujisifu!!
 
Kama umepigiwa mpira mpaka unautafuta kwa tochi na timu ya kuungaunga, basi ujue timu yako ndio mahututi kabisa
Ha ha ha tangu 2011 Madrid ndo aliongozi possession match ya 2nd leg supercup
Kwahiyo sikulaumu unavyoshangilia ila league tumeshaanza
 
The spirit waliyonayo Bernabéu sasa hivi msimu huu sahau kitu chochote kinachoitwa tittle
 
Back
Top Bottom