FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kaka biskuti mbona mechi kibao anacheza beki,yule kiraka,huyo puyol alikuwa beki 2 kabadilishwa sasa ndio beki wa kati,cesc muhimu sio rahisi kama nyie mnavyofikiria kukaa benchi barca,pique alikuwa benchi man utd lakin barca muhimu,wachezaji wa spain hawawezi kuozea benchi,ingekuwa raia mwingine sawa,puyol sasa hivi sio sana,na ndio maana wanahimiza cesc arudi xavi hernandez creus anarudi 6 cesc 8,iniesta kama 10,usichukulie eg za kina hleb,petit,henry,masscherano wale sio waspain kaka

Point yangu ni kuwa Cesc ni Attacking Midfielder, so hawei kucheza nafasi ya Bus. Bus kacheza mkoba katika mechi zote ambazo Puyol hakuwepo na pia Eric hakucheza. Mechi ambazo Puyol hajacheza na Eric hakuwa na shida yoyote ndiye aliyesimama mkoba, Puyol ni muhimu kwa Barca kuliko unavyofikiri mfano Barca haikupoteza mechi yoyote ambayo Puyol alicheza.

Hakuna mchezaji anayependa kukaa bench, ni mazingira tu ndo yanasababisha hali hiyo, so hapo hakuna Uhispania, so kusajiliwa kwa mchezaji mahili katika timu ni kwa sababu ya kuboresha kikosi na unatakiwa ujue kuwa Barca walikuwa na kikosi kidogo sana na backup kwa sehemu kubwa ilikuwa ni wachezaji kutoka timu B.

Kwa style ya Pep Xavi hawezi kufit nafasi anayocheza Bus so Cesc bado ana kazi ya ziada kupata namba iwapo atafanikwa kutua Barca.
 
Ngoja nikueleweshe kidogo ,Cesc na Iniesta walikuwa Defence Midfield wote,kwahiyo suala la Fabregas anaweza kubadilishwa namba,David Villa sasa anacheza kama winga kushoto wakati yupo Valencia alikuwa anasimama 9,kuna kitu kimoja Barca nadhani hujawajua wanaunda spain sasa,soma kuondoka kwa viungo mahiri kama mark van bommel ilikuwa ni ujio wa iniesta,kina edgar davids,cocu,gaucho majeruhi yalipomshika ndipo kina pedro wakaanza kuchipukia,deco,yahya toure alikuwa kiungo ila sergio alipopanda barca kubwa ile mechi ya final 2009 vs man utd kama unakumbuka vizuri yahya toure alikuwa hakosi namba kiungo,ila akacheza beki akisaidiana na pique hapo marquez nae alikuwa benchi,kiungo alicheza sergio biskuti,marquez na yahya toure mwaka uliofuata wakaondoka wote ndio pique na sergio wakapata namba zao,mimi navyowajua barca kama umezaliwa catalon si rahisi wakuweke benchi,pedro rodriguez ledesma kazaliwa visiwa vya tenerife ndio maana nae namba sio sana japo mechi kubwa za derby eg el clasico au el catalon vs espanyol hakosi,japo huyo kidogo utanishawishi kusema namba hatakosa sio Cesc,Cesc wanamlilia sana,hata Sergio Busquets watu walipinga na hawakuamini kama atachukua namba ya Yahya Toure,barca ndio mana ukiangalia hadi timu ya ufundi utakuta wachezaji wa zamani waspain waliopitia barca eg andoni zubizaretta,sergio aberlado,carles busquets barrosa babaake sergio na pep guardiola sala wote ni zao la lamasia,sio ile ya kina cryuff ambayo iliadapt uholanzi,miaka ya 1990 hadi 2000 mwanzoni barca ilikuwa waholanzi karibia wote labda rivaldo na luis figo lakini kipa hadi kocha louis van gaal,sasa imekuwa inakuzwa la masia,tunarudisha fabregas,halafu miguel ignesias,fran merida nk,kuhusu thiago,bado hana ubavu wa kupambana namba na cesc kwa sasa,msichukulie kisa national team cesc hapati namba basi na barca itakuwa hivyohivyo la,barca ana nafasi kubwa sana ya kucheza,Xavi kiungo mzuri kukaba,waspain wana uwezo wa kucheza namba zote wana vipaji binafsi na wepesi,hata fernando torres sanz el nino ni kipa mzuri pia,nchi inayosifika kwa makipa wenye uwezo wa kucheza penati,sema wapigaji ndio muhimu wamebakia cesc,xabi prieto yupo sociadad,ilikuwa kina mendieta,raul na hierro enzi hizo.
 
Nikisoma maelezo yako, sikuelewi vizuri unachokijua kuhusu Barca na U Catalonia. Andoni Zubizarreta si Mcatalonia na wala hajawahi kuwa La Masia, yeye anatoka Basque. Bojan kazaliwa Catalonia lakini kasugua bench mpaka ameondoka. Piqe alipata namba baada ya kuumia Rafa Maqez,Del Bosque si Mbarcelona lakini kamkubali Busqet na kumpa namba ya kudumu kwenye kikosi cha WC 2010.

Aliyewaondoa idadi kubwa ya waholanzi ktk kikosi cha Barca alikuwa ni Mholanzi mwenzao Frank Rijkaardt, so sidhani huo Ucatalonia unaouongelea hapa unafanya niamini Barca wanabagua maana hata hao wacatalonia ni wazuri sana tu. Mfano, Iniesta si mcatalonia lakini walimpendekeza yeye mbele ya Cesc.

Kwa taarifa yako Athletic Club de Bilbao ndo timu pekee Spain ambayo tangu kuanzishwa kwake mpaka sasa wachezaji wake wote ni wa kutoka kabila moja tu la Basque, hiyo ni mipango tu ya timu husika.
 
Kwanza kuhusu xavi,alianza defence midifieldr alipoumia Pep Guardiola,na kocha aliyeondoa waholanzi sio Rijkaard,kuna wengi wamepita akiwemo kocha wa taifa la serbia radomic antic na barca ndio ikaanza kuonekana kina iniesta,valdes,puyol nk,naona barca kaka umeanza kuwajua sana kipindi cha rijkaardi,ila ni ukweli halisi barca inawakuza waspain jiulize wachezaji wangapi wageni wameondoka au wapo bench alipokuja pep,na uangalie wachezaji wa barca wengi kwa sasa na hadi national team spain sasa ni barca karibia yote,enzi hizo barca haitoi mchezaji spian national team wote wageni. ukubali ukatae,enzi za kina zubizaretta coach alikuwa mholanzi cruyff hakujali sana utaifa wa spain ila alileta sana uholanzi
na ndio maana ikawa inaitwa ajax barcelono au oranje barca,mpaka kikajaa kikosi uholanzi karibia neshno timu nzima ni barca,bojan bado sio sana pique kajiunga mwaka 2009 barca na kapata namba ya kudumu,hakuwahi kusugua benchi na ilikuwa wakati muafaka kina belleti,marquez na yahya toure kuondoka walipopandishwa kikosi kina sergio na wenzie,Del Bosque hapo tunazungumzia national team sio klabu,mimi sidhani cesc kusugua namba barca wanamkubali sana hadi pep guardiola.
 
Ngoja nikuache maana huwezi kuelewa chochote, sababu kama hujui hata kuwa ni Rijkaadt ndo alotoa waholanzi Barca, na pia hujui kuwa Davids alicheza Barca kwa mkopo, basi sina comments.

Nimeanza kushabikia Barca tangu 1988 nikiwa naishi Zambia.
 
Nakubaliana na wewe ni kweli Frank Rijkard ndiye aliwatimua wa-dutch wenzie pale Barca,Rijkard aliwakuta Patrick Kluivert,Boudewejin Zenden,Marc Overmars,Philip Cocu,Michael Reiziger,Van Bronkhost .Jamaa ndiye aliwapromote kina Iniesta na kuwaleta kina Ronaldinho,Edmilson,Giuly,Larsson,Etoo
 
Ngoja nikuache maana huwezi kuelewa chochote, sababu kama hujui hata kuwa ni Rijkaadt ndo alotoa waholanzi Barca, na pia hujui kuwa Davids alicheza Barca kwa mkopo, basi sina comments.

Nimeanza kushabikia Barca tangu 1988 nikiwa naishi Zambia.
ha
hahaha haya bwana,sijui kama edgar davids alikuja kwa mkopo kweli umeniona mimi mweupe,ila unapaswa kuelewa waholanzi wengi kina bogarde,zenden,reizeger na figo(mreno)wengi waliondoka alipoondoka louis van gaal,kuna kocha jina nimesahau mspain alikuja alipotoka louis van gaal ndio akaja na carles puyol beki 2 enzi hizo 2002 kuna mechi walicheza na liverpool nou camp 0-0 puyol alikosa bao la wazi,nadhani labda huyo hamjamtambua,kweli rijkaard ndio kawakuza kina iniesta,valdes na kamleta gaucho sijakataa,barca chama langu kaka,sema kuna kipindi lilikuwa linaniudhi chenga twawala lakini twafungwa kama mwanamke mzuri lakini changudoa au tabia mbovu nakumbuka mechi walikula 4-1 kwa valencia kina gaizka mendieta zabala,angloma,kily gonzalez,claudio lopez,gerard lopez ndio ikasababisha louis van gaal atimuliwe ilikuwa nusu final uefa chmps ligi,rivaldo akalamika kuchezeshwa namba ya winga,ndipo kocha akaja mspain akamchukua gerard lopez,figo akaenda real madrid,ni hayo tu kaka,ila pointi ye2 ni kuwa si rahisi kama unavyofikiria wewe na wenzio mlio wengi cesc fabregas soler kukaa benchi barca kisa hapati namba timu ya taifa.
 
hahahaha haya bwana,sijui kama edgar davids alikuja kwa mkopo kweli umeniona mimi mweupe,ila unapaswa kuelewa waholanzi wengi kina bogarde,zenden,reizeger na figo(mreno)wengi waliondoka alipoondoka louis van gaal,kuna kocha jina nimesahau mspain alikuja alipotoka louis van gaal ndio akaja na carles puyol beki 2 enzi hizo 2002 kuna mechi walicheza na liverpool nou camp 0-0 puyol alikosa bao la wazi,nadhani labda huyo hamjamtambua,kweli rijkaard ndio kawakuza kina iniesta,valdes na kamleta gaucho sijakataa,barca chama langu kaka,sema kuna kipindi lilikuwa linaniudhi chenga twawala lakini twafungwa kama mwanamke mzuri lakini changudoa au tabia mbovu nakumbuka mechi walikula 4-1 kwa valencia kina gaizka mendieta zabala,angloma,kily gonzalez,claudio lopez,gerard lopez ndio ikasababisha louis van gaal atimuliwe ilikuwa nusu final uefa chmps ligi,rivaldo akalamika kuchezeshwa namba ya winga,ndipo kocha akaja mspain akamchukua gerard lopez,figo akaenda real madrid,ni hayo tu kaka,ila pointi ye2 ni kuwa si rahisi kama unavyofikiria wewe na wenzio mlio wengi cesc fabregas soler kukaa benchi barca kisa hapati namba timu ya taifa.
Baada ya kutoka van Gaal Barca ilikuwa chini ya makocha wawili wa mpito, Jose Ramon Alexanco akisaidiana na Carles Rexach ambao nao walimpisha Ratomir Antic, Antic alidumu kwa msimu mmoja akishuhudia ujio wa Frank Rijkaardt.Cesc hajatua Barca bado,ni mpaka atakapotua, tunahitaji kuwa na subira, pia na kuwaheshimu Arsenal vilevile nahisi kuna kitu kimenitouch kidogo kuhusu huyu dogo Thiago, Pep kampa jezi namba 4 aliyokuwa akivaa yeye enzi hizo na pia ndo namba ya captain wa Arsenal na juzi Thiago kaitwa ktk timu ya Taifa ya wakubwa.
 
Basi tena sidhani kama Soler atatua Nou Camp,nimeshakata tamaa,Barca sio watoa hela kama Real Madrid,Pauni milioni 40 kwa Barcelona kutoa sio kitu rahisi na siku zinajongea.
 
Tusiondoe uwezekano, kuna mechi kati ya Arsenal na Udinese ya UCL play off, akicheza basi hakuna uwezekano, asipocheza tusubiri August 31, ikipita bila signing hapo kuna uwezekano wa Cesc kumalizia maisha yake ya soka Arsenal.
 
Thiago Alcantara jezi namba 4 bado haijawa confirmed kupewa,zile mechi za kirafiki tu,jezi namba 4 barcelona haina mwenyewe bado
 
Si angetumia namba 30 ambayo huwa anavaa kila alipokuwa anacheza first team! Kama unafahamu maana ya pre-season preparation utajua kuwa namba aliyopewa Thiago ndo atakayoitumia kwenye ligi kwa vile tayari ameshakuwa promoted kwenye kikosi cha kwanza.Ila inaweza kutokea kama Cesc atatua Barca Thiago anaweza akakubali kuiachia.Raul alikataa kuachia namba 7 kwa Becks na kwa Christiano pia. Ivan Zamorano na Ronaldo ilikuwa ishu kwa jezi namba 9 pale Inter, na kwa shingo upande Zamorano alipokubali kuiachia akawa anavaa jezi yenye namba 8+1 mgongoni ambayo maana yake ni 9 ileile!
 
hili saga la cesc sas nalo liishe agrrrrrrrrh tutulie tupange mipango mingine..
Mkuu, Barca walikwishamaliza kila kitu kuhusu kusajili, yaani the main target ilikuwa ni Alexis, ujio wa Cesc kama utakamilika itakuwa ni ziada tu kwa vile mipango yote ya kuanza new season haimu include Cesc kwa hiyo mambo yataendelea tu.Tukirudi nyuma kuhusu Mascherano tunaona kuwa hata yeye alifika wakati ligi ikiwa imeanza na hakukuwa na effect yoyote kwa timu.Ugumu wa kumsign Cesc Barca wanaujua fika na ndo maana hawataki kufanya mambo kwa haraka so don't worry timu ipo kamili.
 
Cesc anakwenda kucheza ligi yenye timu mbili, ndio mpira wake utaisha sasa. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Thiago Alcantara jezi namba 4 bado haijawa confirmed kupewa,zile mechi za kirafiki tu,jezi namba 4 barcelona haina mwenyewe bado

Si angetumia namba 30 ambayo huwa anavaa kila alipokuwa anacheza first team! Kama unafahamu maana ya pre-season preparation utajua kuwa namba aliyopewa Thiago ndo atakayoitumia kwenye ligi kwa vile tayari ameshakuwa promoted kwenye kikosi cha kwanza.Ila inaweza kutokea kama Cesc atatua Barca Thiago anaweza akakubali kuiachia.Raul alikataa kuachia namba 7 kwa Becks na kwa Christiano pia. Ivan Zamorano na Ronaldo ilikuwa ishu kwa jezi namba 9 pale Inter, na kwa shingo upande Zamorano alipokubali kuiachia akawa anavaa jezi yenye namba 8+1 mgongoni ambayo maana yake ni 9 ileile!

Mkuu I heard kuwa Thiago amekuwa shafted over #4 instead kapewa #11.
 
Cesc anakwenda kucheza ligi yenye timu mbili, ndio mpira wake utaisha sasa. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Na anatoka katika ligi ambako all teams play for Man U to be Champs!
 
Back
Top Bottom