NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 595
Kaka biskuti mbona mechi kibao anacheza beki,yule kiraka,huyo puyol alikuwa beki 2 kabadilishwa sasa ndio beki wa kati,cesc muhimu sio rahisi kama nyie mnavyofikiria kukaa benchi barca,pique alikuwa benchi man utd lakin barca muhimu,wachezaji wa spain hawawezi kuozea benchi,ingekuwa raia mwingine sawa,puyol sasa hivi sio sana,na ndio maana wanahimiza cesc arudi xavi hernandez creus anarudi 6 cesc 8,iniesta kama 10,usichukulie eg za kina hleb,petit,henry,masscherano wale sio waspain kaka
Point yangu ni kuwa Cesc ni Attacking Midfielder, so hawei kucheza nafasi ya Bus. Bus kacheza mkoba katika mechi zote ambazo Puyol hakuwepo na pia Eric hakucheza. Mechi ambazo Puyol hajacheza na Eric hakuwa na shida yoyote ndiye aliyesimama mkoba, Puyol ni muhimu kwa Barca kuliko unavyofikiri mfano Barca haikupoteza mechi yoyote ambayo Puyol alicheza.
Hakuna mchezaji anayependa kukaa bench, ni mazingira tu ndo yanasababisha hali hiyo, so hapo hakuna Uhispania, so kusajiliwa kwa mchezaji mahili katika timu ni kwa sababu ya kuboresha kikosi na unatakiwa ujue kuwa Barca walikuwa na kikosi kidogo sana na backup kwa sehemu kubwa ilikuwa ni wachezaji kutoka timu B.
Kwa style ya Pep Xavi hawezi kufit nafasi anayocheza Bus so Cesc bado ana kazi ya ziada kupata namba iwapo atafanikwa kutua Barca.