Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 402
2012/2013 Ronaldo alishinda kombe gani?Unataka mchezaji bora atokane na kombe la mfalme au FA kule uingereza
Mbona aliichukua hiyo tuzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2012/2013 Ronaldo alishinda kombe gani?Unataka mchezaji bora atokane na kombe la mfalme au FA kule uingereza
Alafu wanatokea wahuni, mazoba wanatuambia eti ronaldo anastaili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 wakati king amekamatia toka msimu uliopita unaanza yaani huu uhuni kwenye soka sijui utaisha lini.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]

In short hilo gazeti lingeandika "weka mbali na watoto". Hapana chezea hiyo. Yaani kwamba hivi Balloon Dor zote tangu aanze kukipiga ilitakiwa achukue huyu mchawi wa Ball wa Muda wote."He plans his move in a nano second,sees gaps no one in the stadia,not even Velverde can see-he even makes Albert Einsten father of the atomic bomb look less bright by comparasion,he does wonders without even trying". Gazette la Spain limeandika
In short hilo gazeti lingeandika "weka mbali na watoto". Hapana chezea hiyo. Yaani kwamba hivi Balloon Dor zote tangu aanze kukipiga ilitakiwa achukue huyu mchawi wa Ball wa Muda wote.
Yeah Mkuu. a.k.a "SuperFine". Lazima tuseme uhalisia wa mambo ulivyo.Hujakosea kujiita "FineForever" kwenye blue nimepapenda zaidi
Yupo Barcelona B na juzi alifunga golicalles allena fundi mbona hachezeshwi?
Kweli Kabisa Mkuu!KING hafananishwi na players waliopita na haitatokea player wa kufanananae. May be baada ya 1000 years ahead.
Hizi ni habari njema kwetuNdugu zetu wamepigwa na Real Betis 1 bila
Acha mzaha, nina furaha balaaaWakuu twendeni tukatoe pole kwa jirani